Kumekucha Mbagala: Kampuni ya MOFAT imetuma ombi LATRA kuziondoa Daladala

Kumekucha Mbagala: Kampuni ya MOFAT imetuma ombi LATRA kuziondoa Daladala

Wengine wafe wao waishi sio? Mbona patachimbika, na je daladala watakubali kuzikwa?
Daladala mbona rahisi tu unanyimwa ruti tu kibali kikiisha ukiomba hupewi hadi zinaisha zote.
Changamoto ni hapo kwenye Bajaj na boda boda
 
Kwani Kimara Kivukoni/Gerezani kuna daladala?
Daladala zitabaki kuhudumia njia nyingine
Hakuna
Ni wakati watu wakubaliane na uhalisia, tukiweka siasa kando, daladala, boda boda, machinga wanapaswa dhibitiwa
Kwa sasa boda boda na machinga ni kama wanafanya kila waonalo ni sawa
 
Hakuna
Ni wakati watu wakubaliane na uhalisia, tukiweka siasa kando, daladala, boda boda, machinga wanapaswa dhibitiwa
Kwa sasa boda boda na machinga ni kama wanafanya kila waonalo ni sawa
Watu wengi wanaweka hisia mbele. Imagine eti bajaj zinakuwa kama daladala zinatoka tegeta hadi posta!
 
Hakuna competition ya daladala na mwendokasi. Mwendokasi ineletwa ili kuwe na organized transport hivyo kwemye njia iliokamilika daladala lazima ziondoke. Phase zote zikitimia daladala zote zitahamia huko nje ya mji. Hio ndio hali halisi. Sio kwasabbau ya Abdul au Samia huo ndio utaratibu wa brt. Hii ya mbagala kivukoni gerezani imekamilika daladala lazima ziondoke zitaemda route ambayo brt haifiki huko huko Mbagala. Mfano Gerezani Tuangoma,Gerezani Mwandege

Watu wengi wanaweka hisia mbele.
Huwa nasema kuwa CCM wanafeli sababu ya kukumbatia ujinga, boda boda hazikupaswa kabisa ruhusiwa kuwepo mijini, wangebaki na kazi za ndani ndani.
Hivi leo Kariakoo haipitiki sababu ya wanasiasa na siasa
 
Huwa nasema kuwa CCM wanafeli sababu ya kukumbatia ujinga, boda boda hazikupaswa kabisa ruhusiwa kuwepo mijini, wangebaki na kazi za ndani ndani.
Hivi leo Kariakoo haipitiki sababu ya wanasiasa na siasa
Sio Kariakoo tu baranara zote zimekuwa uwanja wa fujo wa bajaj na bodaboda. Watu wako kwenye AI era sisi tunahangaika na bajaj na bodaboda.
 
Kwani Kimara Kivukoni/Gerezani kuna daladala?
Daladala zitabaki kuhudumia njia nyingine
Mwendokasi imefeli vibaya kwenye hizo route mpaka Bajaj zimeingia kuziba hilo ombwe na hivi karibuni route ya Mbezi/Mnazimmoja imeanzishwa. Mwendokasi bado haijaweza kuwahakikishia wateja uhakika wa usafiri na ndio maana watu wana hofu.
 
Siyo kwmb kuna cha maombi hapo, hiyo ni zuga tu bt mchongo mzma upo kwmb daladala ztaondolewa zote ni sehemu ya mkataba, hii ndo serikali fake ya maccm....spati pcha huo mtiti wake
 
Rostam ndiyo mmiliki wa haya mabus sioni namna serikali inaweza kukataa ombi la kuondoa daladala...
Mwisho wa daladala ni mwezi June mwaka huu
 
Wapunguze ukiritimba, warahisishe huduma, watoe elimu ya hizo kadi zao kupitia matangazo nk.

Waongeze mabasi pia.

Kutaka daladala zizuiwe ni uonevu.
 
Hakuna competition ya daladala na mwendokasi. Mwendokasi ineletwa ili kuwe na organized transport hivyo kwemye njia iliokamilika daladala lazima ziondoke. Phase zote zikitimia daladala zote zitahamia huko nje ya mji. Hio ndio hali halisi. Sio kwasabbau ya Abdul au Samia huo ndio utaratibu wa brt. Hii ya mbagala kivukoni gerezani imekamilika daladala lazima ziondoke zitaemda route ambayo brt haifiki huko huko Mbagala. Mfano Gerezani Tuangoma,Gerezani Mwandege daladala zitaemdelea kuwepo.
Nawewe unaona hilo litakuwa practical katika utawala huu wa kambale. Raia wajiandae na mateso bila chuki.
 
Serikali inataka kufanya "Monopoly" kwenye swala la usafiri. Same bullshit as Tanesco!
Tatizo ni kwamba wakati serikali inapanga kuanzisha hiyo miradi ya BRT, ilikuwa daladala inabidi ziondolewe zibakie kuhudumia njia mbadala "feeder roads"...

Sasa si unajua tena serikali yetu, zilongwa mbali, zitendwa mbali...
 
Hiyo zone wengi wamesimama na mama,wengi huko ukimsema mama wanakwambia unamchukia kwa sababu ya dini yake.

Sijui exactly hao mofat ni mwarabu muhindi mchina au mzungu but kama mwarabu ametoboa maana naamini kwa wakazi wengi wa Mbagala watasimama nae wampe hizo buku buku kwa wingi,mama anatosha,mama anasimama na wanyonge,mama mpaka 2035 hutaki wewe ni mTEC,inafurahisha sana.
 
Back
Top Bottom