PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Hakuna kitu kitaenda sawa chini ya CCM
Hii ni nzuri sana na naomba wakubaliwe mara moja. Ni moja ya njia nzuri sana ya kuharakisha kifo cha CCM.Maombi Yao yanafanyiwa kazi
Ni hatari sana kwa MbagalaHii ni nzuri sana na naomba wakubaliwe mara moja. Ni moja ya njia nzuri sana ya kuharakisha kifo cha CCM.
Wanasubiri nini kuzichoma moto?
NaamHizo bus haziwezi kuwahudumia abiria wote wa Mbagala nadhani waweke bei rafiki ili waende na soko la ushindani sio kutafuta wafanye kazi peke yao kama Kimara baadae Wananchi waanze kupata tabu tena..
Mabasi ya Abdul, kama mama mtu hakutaka ushindani kwenye uchaguzi ndiyo mtoto atake ushindani kwenye biashara?Tanzania chini ya samia ni hopeless
Hujaelewa ila unatukana tuIla haters wa Samia bwana, yaani mnaona sawa tu zile vurugu za hovyo hovyo za hao jamaa?!!! Yaani kusiwe na utaratibu kisa tu hatumpendi anayetawala......... pumbavu kabisa!
Kwa njia ya mwendo Kasi ipo kwa ajili ya nani?!!!!
Hachezi mbali na fursa!!!Hii Mofat huenda ikawa kampuni ya Samuya.
Mkuu umekurupuka kujibu. Mara nyingi huwa napenda kuwaasa watu wajipe muda wa kusoma na kuelewa kabla ya kujibu loloteIla haters wa Samia bwana, yaani mnaona sawa tu zile vurugu za hovyo hovyo za hao jamaa?!!! Yaani kusiwe na utaratibu kisa tu hatumpendi anayetawala......... pumbavu kabisa!
Kwa njia ya mwendo Kasi ipo kwa ajili ya nani?!!!!
SwadaktaMkuu umekurupuka kujibu. Mara nyingi huwa napenda kuwaasa watu wajipe muda wa kusoma na kuelewa kabla ya kujibu lolote
Hoja ya mofat wanataka daladala zisifanye kazi kwenye njia ambayo wao wapo Kama ilivyokua kimara. Yaani kusiwepo na gari za mbagala gerezani.
Wananchi wanataka daladala ziendelee uwepo
Inawezekana wewe ndo hujawaelewa mofiat......umekurupushwa tu na mada ya hater wa Samia kama alivyoiandika kihatredMkuu umekurupuka kujibu. Mara nyingi huwa napenda kuwaasa watu wajipe muda wa kusoma na kuelewa kabla ya kujibu lolote
Hoja ya mofat wanataka daladala zisifanye kazi kwenye njia ambayo wao wapo Kama ilivyokua kimara. Yaani kusiwepo na gari za mbagala gerezani.
Wananchi wanataka daladala ziendelee uwepo
Mkuu hii taarifa sio mpya, ilishatolewa toka juzi. Mofat wanataka daladala ziondolewe kutoa huduma, wabaki wao peke yao kubeba abiria.Inawezekana wewe ndo hujawaelewa mofiat......umekurupushwa tu na mada ya hater wa Samia kama alivyoiandika kihatred
🙏🙏Mkuu hii taarifa sio mpya, ilishatolewa toka juzi. Mofat wanataka daladala ziondolewe kutoa huduma, wabaki wao peke yao kubeba abiria.
Soma hapa chini taarifa kamili
View attachment 3531916