Kumekucha: Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia

Kumekucha: Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia

Maana ndani ya Iran kuna community kubwa sana ya Wayahudi katika jiji la Isfahan na Tehran na hawa ndio macho (Spies) ya Wayahudi waliopo Palestine.

on the authority of Anas
 may  Allaah  be  pleased  with  him
the Prophet, sallallaahu ‘alayhi wa sallam, said that the Antichrist will emerge from Yahoodiyyah in Isfahan (IRAN) and that seventy thousand Jews would be with him. [Ahmad]
Umeeleza vizuri lakini ulivyoweka hako ka stori ka kusadikika nikakudharau
 
Endelea kuota hukatazwi kuota nilisha wambia Israel hawezi kugusa Iran. Watu wanasherekea harusi eti mlipuko we bora lala wacha kusumbua akili zako. Mimi nilisha wambia Israel maneno mengi kwa Iran ni mtoto mdogo sana.
 
Unaambiwa kobazi huko wameangamia hahahahaha tukiwaambia sisi hao wayahudi sio watu wazuri🤣🤣🤣🤣🤣
 
Endelea kuota hukatazwi kuota nilisha wambia Israel hawezi kugusa Iran. Watu wanasherekea harusi eti mlipuko we bora lala wacha kusumbua akili zako. Mimi nilisha wambia Israel maneno mengi kwa Iran ni mtoto mdogo sana.
Umeandika Kwa uchungu sanaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hizi propaganda za mashog,a buana. Iran kamimina vyima hadharani dunia nzima ikashuhudia wewe unaleta habari za kimbea.

Mwanaume anafanya mambo hadharani sio kificho ni uoga huo. Israel hana uwezo wa kuishambulia Iran ipo hivyo yaani.
Umeandika Kwa uchungu sanaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia. Iran wakanusha mji huo kushambuliwa.

Mytake: Huenda Mazayuni wameshafanya yao 🤔
---
🚨Just In - Initial reports of explosions heard near the cities of Isfahan and Tehran in Iran.

Iranian media has denied any violation tonight of Iran’s airspace by hostile aircraft.

Pro-IRGC, Sabereen news denies an attack on Iran. There are some claims about military exercises happening in the area.

Isfahan is home to many sensitive sites, including defense industries and parts of the nuclear program.

View attachment 3118299
HIO PICHA NI YA 2021 WACHA KUDANGANYA WATU

 
Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia. Iran wakanusha mji huo kushambuliwa.

Mytake: Huenda Mazayuni wameshafanya yao 🤔
---
🚨Just In - Initial reports of explosions heard near the cities of Isfahan and Tehran in Iran.

Iranian media has denied any violation tonight of Iran’s airspace by hostile aircraft.

Pro-IRGC, Sabereen news denies an attack on Iran. There are some claims about military exercises happening in the area.

Isfahan is home to many sensitive sites, including defense industries and parts of the nuclear program.

View attachment 3118299
Ikiwa serikali tukufu ya dola ya kiislamu ya watu wa iran wamekanusha basi hakuna ukweli hao sio watu wa propaganda kama mazayuni wanauwawa wanazuga wamejeruhiwa!
 
Jackal nina uhakika hata kazini kwako wewe ni MPOTOSHAJI SANA. Watu kama wewe tunao wengi sana maofisini, halafu bahati mbaya huwa wakubwa wanawaamini ILA BAADAE WANAKUTA WAMEINGIZWA CHAKA.
Pia ni mabingwa wa MAJUNGU na kufitinisha wenzao .
 
Wayahudi baada ya kuuawa na Nebukadreza wengi walikimbilia katika Persian empire. IRAN imehifadhi mayahudi kwa maelfu ya miaka.

Kamwe haitatokea Mashia wa Iran wakapambana vita na Wayahudi.

Israel anawahitaji sana Mashia (IRAN) Ili kuzuia waislam (Sunni) wasitangaze vita kupambana na Wayahudi. Hamkuona vita dhidi ya ISIS jinsi Iran alivyokuwa akishirikiana na Israel na marekani bega kwa bega kuhakikisha hawa sunni hawatawali Syria na Iraq?
Jamaaa muongo sana Israel ndio alikuwa anawasapot isis na Israel anataka kuondosha mashia apo Syria sababu imekuwa njia nyeupe y kwa Iran kutumia barabara kupeleka siraaa Lebanon tofaut na uko nyuma wakat w Salam useem japo Iran alishindwa kupitisha apo Iraq sasa njia nyeupe kwa Iran. Israel kwasasa rafiki zake wakuunni sunni,, not Shia shia ndio wanaongoza kumpelekea moto tena awataki ugaid awataki mtu kujiripua utosikia hezbollah kajirupua awataki izo mambo wao wanakutandika asubui asubui ukiwa macho awakuvizii wao sio waoga anaevizia ni muoga. Acha kudanganya watu
 
Bora! Hapa ndo nataka nipime uwezo kamili wa Allah! Kwa sababu Iran yanampata yote haya sababu ya kumpigania Allah kupitia Hezbollah na Hamas
Ukiona dini yoyote ile waamini wake wanampigania mungu wao basi ujue hamna kitu hapo.
 
Bora! Hapa ndo nataka nipime uwezo kamili wa Allah! Kwa sababu Iran yanampata yote haya sababu ya kumpigania Allah kupitia Hezbollah na Hamas
Muumba apiganiwi ,yeye ana Kila KITU,uwezo ,nguvu vyote vya kwake iweje Hamas na hazbollah ndo wampiganie?
 
Awa wazungu na Israel walibugi kimkakat kumtoa sadam hussen pale Iraq. Kweli nayy sadam alikuwa anasapot Israel kushambuliwa nakumbuka alitangaza offers kila mpalestina akijilipua uko Israel yy sadam analipa family yake dola10000 kwaiyo ipo shida alikuwa akifanya. Israel na nch za West wakaona atoke pale kwamaslai y Israel ukijumlisha n vita uko nyuma alikuwa akipiga Israel na scad. Lkn kwasasa wanajitia ujinga wao mana apo Iraq idala y usalama nikama imeundwa na Iran moyo wa serikali y Iraq awakujua km Iran anaushawishi w kiwango kipi vile sadam na Iran walikuwa awaivi kabisa. Sasa imekuwa njia mkuu ya Iran kupeleka viuma Syria Lebanon mana kuna mjue uko pia kuna usafiri km kwetu maabood bm yakataka nchi kwa nchi , ndio mkaona vita vya Syria wazungu baada y kuona wamebugi kumtoa sadam hussen ambaye ni msunni wkt ichi y Iraq mashia ndio wengi 75% y wairaq so sadam vile sunni ilikuwa rais kukaanae kumaliza tofaut zao na west ili nae apunguze uwasama na Israel kuliko kumtoa. Wazungu wakaona wamejichanganya sasa iweje tukate njia kule Syria nako mjue sunn ndio wengi apo Syria 80% lkn nchi imeshikwa na mshia Assad so tuanzinshe tibwili sunn wajingawajinga zaid tutawaidi wataongoza wao nch lkn mpango wao wazungu ulikuwa kuigawanya Syria vipande vipande na kuwachochea ivyo vipande visielawane kabisa. Wazungu wamekao kikao vyao kufanikisha uho mpango ili huu mgogolo ufadhiliwe na warabu wenyewe kwa kila namna uku wao wazungu target njia. wakaja na wazo bomba la ges kutoka Qatar ipite Saudi Arabia Jordan ije Syria adi uturuki ndudu zangu wazungu tuwaeshim japo kidogo wakipanga mpango awakurupuki embu ona mcholo wao ulivokuwa bomba la.ges walipopangq walikuwa wanajua Syria atokubali huu mpango sababu asingeweza kutoa uwamuzi sawa pitisheni juu ya ili lazima apate ushauri w urusi na Iran nch kubwa ikimbukwe Russia ndio namba moja kwa ges na yapili Iran yatatu ndio Qatar wkt Syria mshilika wa Russia na Iran wangeweza kukubali kweli atakama niww ungekataa au wangekataa mzungu nyoko kaa nae mbali upande w pili kampuni iliopewa iyo kazi kandalasi iliwekewa mzigo pesa zakutosha ili ianze kulipa fidia seem bomba litapita kwanzia Qatar Saudi Jordan kazi ikawa imeanza kama kweli kumbe ni mpango wakuwaingiza warabu ktk vita wanajua jibu la kule litakuwa no lkn uku wanaanza kulipa fidia uku inchi zikiaidiwa mipesa mingi kila.ujazo w ges ukipita ktk nchi yake. Kwaiyo Syria aligoma wazungu wakawashawishi warabu wao wanaweza mtoa Assad ila tutatakaka ufadhili Saudi Arabia na Qatar kimbelembele vile pesa wanazo wskajaaa vile wakiona Assad ni Shia n pale sunni wengi nawao sunni wakaona yess kazi ikaanza tumeona kama sio Russia Iran na hezbollah Leo Assad asingekuwepo na pengine msiba mkubwa ungeendea adi na Leo Qatar ilikuja kushtuka lkn imechelewa sana ni Russia ndio walienda Qatar kuwatonya kuwa Acha ufara shida yao sio ges shida yao hi ile Qatar akatubu alaka kwa Iran 🤣🤣🤣🤣
 
Ukiona dini yoyote ile waamini wake wanampigania mungu wao basi ujue hamna kitu hapo.
Na ukiona dini inamtolea Mungu wao fungu la kumi na sadaka ya kuteketeza basi jua huyo Mungu wao hana hela na anapenda nyama choma, Mungu anajengewa nyumba ya ibada badala ya kushuka mwenyewe kujenga na wafuasi kumuabudu!!
 
Mtume Muhammad (s.a.w) amesema kuwa Masih Dajjal ( Anti-christ/ masihi wa uongo) atatokea upande wa Mashariki mwa Arabia kwenye mji wa Isfahan (iran ya leo) akiongozana na jeshi la Mayahudi 70000 kuelekea Jerusalem.

Hizi ni nyakati za Mwisho
💩💩💩💩
 
Back
Top Bottom