Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Source: ? ISIS ilikuwa ikipambana na walezi wa wayahudi aka USA, UK na Russia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source: ? ISIS ilikuwa ikipambana na walezi wa wayahudi aka USA, UK na Russia
Sasa kama Iran wanakataa kwanini unaleta picha za ku-copy and paste hapa za milipuko ya sehemu nyengine, si lazima uje hapa jf na kuandika chochote cha uongo uongoMlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia. Iran wakanusha mji huo kushambuliwa.
Mytake: Huenda Mazayuni wameshafanya yao 🤔
---
🚨Just In - Initial reports of explosions heard near the cities of Isfahan and Tehran in Iran.
Iranian media has denied any violation tonight of Iran’s airspace by hostile aircraft.
Pro-IRGC, Sabereen news denies an attack on Iran. There are some claims about military exercises happening in the area.
Isfahan is home to many sensitive sites, including defense industries and parts of the nuclear program.
View attachment 3118299
FaizaFoxy Al maktoumHawako kabisa katika uislam kutokana na itikadi zao zenye kufru.
Wanawatukana,wanawakufurisha na kuwalaani wake wa Mtume Muhammad (pbuh) na maswahaba (wanafunsi wa Mtume Muhammad).
Wana itikadi nyingi za kikafiri na chimbuko la Ushia ni Myahudi aliyeitwa Abdallah ibn Sabai.
Kuna ostaz mmoja anadai kuwa nyie mashia ni makafiri ndo maana nimekuita Bibi yanguNaam, umeniita?
Tatizo nini?
Msalimie.Kuna ostaz mmoja anadai kuwa nyie mashia ni makafiri ndo maana nimekuita Bibi yangu