Kumekucha: Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia

Kumekucha: Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia

Mtume Muhammad (s.a.w) amesema kuwa Masih Dajjal ( Anti-christ/ masihi wa uongo) atatokea upande wa Mashariki mwa Arabia kwenye mji wa Isfahan (iran ya leo) akiongozana na jeshi la Mayahudi 70000 kuelekea Jerusalem.

Hizi ni nyakati za Mwisho
Soma ramani yako vizuri kama Iran ipo Mashariki mwa Arabia na kama Iran inaweza kuwa na Wayahudi wanaoweza kufikia 70,000 katika Jeshi lake.
 
Awa wazungu na Israel walibugi kimkakat kumtoa sadam hussen pale Iraq. Kweli nayy sadam alikuwa anasapot Israel kushambuliwa nakumbuka alitangaza offers kila mpalestina akijilipua uko Israel yy sadam analipa family yake dola10000 kwaiyo ipo shida alikuwa akifanya. Israel na nch za West wakaona atoke pale kwamaslai y Israel ukijumlisha n vita uko nyuma alikuwa akipiga Israel na scad. Lkn kwasasa wanajitia ujinga wao mana apo Iraq idala y usalama nikama imeundwa na Iran moyo wa serikali y Iraq awakujua km Iran anaushawishi w kiwango kipi vile sadam na Iran walikuwa awaivi kabisa. Sasa imekuwa njia mkuu ya Iran kupeleka viuma Syria Lebanon mana kuna mjue uko pia kuna usafiri km kwetu maabood bm yakataka nchi kwa nchi , ndio mkaona vita vya Syria wazungu baada y kuona wamebugi kumtoa sadam hussen ambaye ni msunni wkt ichi y Iraq mashia ndio wengi 75% y wairaq so sadam vile sunni ilikuwa rais kukaanae kumaliza tofaut zao na west ili nae apunguze uwasama na Israel kuliko kumtoa. Wazungu wakaona wamejichanganya sasa iweje tukate njia kule Syria nako mjue sunn ndio wengi apo Syria 80% lkn nchi imeshikwa na mshia Assad so tuanzinshe tibwili sunn wajingawajinga zaid tutawaidi wataongoza wao nch lkn mpango wao wazungu ulikuwa kuigawanya Syria vipande vipande na kuwachochea ivyo vipande visielawane kabisa. Wazungu wamekao kikao vyao kufanikisha uho mpango ili huu mgogolo ufadhiliwe na warabu wenyewe kwa kila namna uku wao wazungu target njia. wakaja na wazo bomba la ges kutoka Qatar ipite Saudi Arabia Jordan ije Syria adi uturuki ndudu zangu wazungu tuwaeshim japo kidogo wakipanga mpango awakurupuki embu ona mcholo wao ulivokuwa bomba la.ges walipopangq walikuwa wanajua Syria atokubali huu mpango sababu asingeweza kutoa uwamuzi sawa pitisheni juu ya ili lazima apate ushauri w urusi na Iran nch kubwa ikimbukwe Russia ndio namba moja kwa ges na yapili Iran yatatu ndio Qatar wkt Syria mshilika wa Russia na Iran wangeweza kukubali kweli atakama niww ungekataa au wangekataa mzungu nyoko kaa nae mbali upande w pili kampuni iliopewa iyo kazi kandalasi iliwekewa mzigo pesa zakutosha ili ianze kulipa fidia seem bomba litapita kwanzia Qatar Saudi Jordan kazi ikawa imeanza kama kweli kumbe ni mpango wakuwaingiza warabu ktk vita wanajua jibu la kule litakuwa no lkn uku wanaanza kulipa fidia uku inchi zikiaidiwa mipesa mingi kila.ujazo w ges ukipita ktk nchi yake. Kwaiyo Syria aligoma wazungu wakawashawishi warabu wao wanaweza mtoa Assad ila tutatakaka ufadhili Saudi Arabia na Qatar kimbelembele vile pesa wanazo wskajaaa vile wakiona Assad ni Shia n pale sunni wengi nawao sunni wakaona yess kazi ikaanza tumeona kama sio Russia Iran na hezbollah Leo Assad asingekuwepo na pengine msiba mkubwa ungeendea adi na Leo Qatar ilikuja kushtuka lkn imechelewa sana ni Russia ndio walienda Qatar kuwatonya kuwa Acha ufara shida yao sio ges shida yao hi ile Qatar akatubu alaka kwa Iran 🤣🤣🤣🤣
Mkongwe!
😑😑😑

Kwa huu mtindo wako wa uandishi, sidhani kama kuna mtu anasoma michango yako.

Kama unafanya makusudi badilika.
 
Daaa nimecheka yani mungu ana ela afu anapenda nyama choma😆😆😆😆😆😆 japo tupunguze mambo yakiimani yatatutoo ktk kufikisha jumbe zetu. Atuwezi kusimamia hoja zetu adi tuwaguse miungu yetu. Mtu akikosa pwent anaona amdhalilishe mungu wa mwenzie apana sio sawa. Jua nayy atajibu kile ulicho andika so ww wakwanza kumtumia mungu vibaya w mwenzio ndio umesababisha mungu wako atukanwe. Tuogope dhambi.
 
Wavae kama mashog,a wa magharibi yaani mapaja wazi?

Wale wamestaraabika sio malay,a na mashog,a kama Israel ushog,a hadi jeshini na kwasasa ndiyo makao makuu ya ushog,a duniani.

Usitake mambo ya Ufirauni yaenee hadi nchi zilizostarabika.
Neno mashoga mbona limekukaa sana kichwani
Wewe ni shoga?
 
Sasa nimeelewa kwa nini Netanyahu alisema hakuna sehemu yeyote ndani ya Iran mkono wa Israel hauwezi fika
kwani kuna sehemu ndani ya israeli iran mkono wake hauwezi fika,si juzi tu hapa benja gay alijificha kwenye mahandaki kunusuru roho yake
 
Wanairudia. Ilitoka kipindi kile IRAN alipoishambulia Israel kwa mara ya kwanza.
 
Mji wa Isfahan una mayahudi wengi sana waishio ndani ya Iran.

Na Anti-christ (Masih Dajjal) anayesubiriwa na kama mfalme/Masihi wa Wayahudi atatokea huko akiambatana na mayahudi 70,000 kuelekea Jerusalem.

Iran (Mashia) na Israel (wayahudi) hawawezi kuingia katika vita hata kidogo. Adui mkubwa wa Wayahudi ni Waislam (Sunni). Hawa ndio wanaoogopwa na Mayahudi na ikitokea wakiamka kama walivyoamka ISIS mwaka 2012 basi ulimwengu mzima pamoja na Mashia wa Iran watakusanyika na kupambana nao bila ya kuangalia tofauti zao za kidini na kisiasa.

Russia,Iran,Lebanon,Israel,USA,UK n.k wote waliungana katika vita yao dhidi ya ISIS.
Hizo nchi zote za kisuni ni vibaraka wa marekani na ulaya, halafu unategemeaje waje kupambana na Israel?
ISIS walifadhiriwa na nchi moja tu ya kisuni wala haikuwa mpango wa nchi za kisuni.
 
Uzuri wa walokole na wagalatia ni rahisi sana kuwadanganya ndiyo maana kina Kakobe, Mwabosa wanatajirika kwa ujinga wao😀 mleta huu uzi yeye mwenyewe kasema hana uhakika lakini wagalatia wanashangilia bila kuhoji.
 
Bora! Hapa ndo nataka nipime uwezo kamili wa Allah! Kwa sababu Iran yanampata yote haya sababu ya kumpigania Allah kupitia Hezbollah na Hamas
Unajua vitu vingine huwa mnajitoa akili sana! Allah ni neno la kiarabu lenye maana ya Mungu.

God- Kiingereza
Allah - Kiarabu
Mungu- Kiswahili
Gott- Kijeruman

Hivo usije ukahisi unapoona Allah ama kusikia basi ni Mungu wa waislam hapana! Pale Misri kuna makanisa na hayo makanisa yana biblia zao pia ambazo zina jina la Allah.
 
Hii habari haikuwa ya kweli cos hakuna chombo chochote kilicho report
 
Bora! Hapa ndo nataka nipime uwezo kamili wa Allah! Kwa sababu Iran yanampata yote haya sababu ya kumpigania Allah kupitia Hezbollah na Hamas.
Na utagundua huyo Allah ni hana msaada wowote ni imani za watu tu.
 
Russia,Iran,Lebanon,Israel,USA,UK n.k wote waliungana katika vita yao dhidi ya ISIS.
Screenshot_20231108-213027.png
 
Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia. Iran wakanusha mji huo kushambuliwa.

Mytake: Huenda Mazayuni wameshafanya yao 🤔
---
🚨Just In - Initial reports of explosions heard near the cities of Isfahan and Tehran in Iran.

Iranian media has denied any violation tonight of Iran’s airspace by hostile aircraft.

Pro-IRGC, Sabereen news denies an attack on Iran. There are some claims about military exercises happening in the area.

Isfahan is home to many sensitive sites, including defense industries and parts of the nuclear program.

View attachment 3118299
Yalikuwa ni majaribio ya air defense systems riheso ya namna ya kuilinda site dhidi ya ndege na missiles za mayahudi
 
Mji wa Isfahan una mayahudi wengi sana waishio ndani ya Iran.

Na Anti-christ (Masih Dajjal) anayesubiriwa na kama mfalme/Masihi wa Wayahudi atatokea huko akiambatana na mayahudi 70,000 kuelekea Jerusalem.

Iran (Mashia) na Israel (wayahudi) hawawezi kuingia katika vita hata kidogo. Adui mkubwa wa Wayahudi ni Waislam (Sunni). Hawa ndio wanaoogopwa na Mayahudi na ikitokea wakiamka kama walivyoamka ISIS mwaka 2012 basi ulimwengu mzima pamoja na Mashia wa Iran watakusanyika na kupambana nao bila ya kuangalia tofauti zao za kidini na kisiasa.

Russia,Iran,Lebanon,Israel,USA,UK n.k wote waliungana katika vita yao dhidi ya ISIS.
Kwahiyo unamanisha mashia sio waislam?
 
Jamaaa muongo sana Israel ndio alikuwa anawasapot isis na Israel anataka kuondosha mashia apo Syria sababu imekuwa njia nyeupe y kwa Iran kutumia barabara kupeleka siraaa Lebanon tofaut na uko nyuma wakat w Salam useem japo Iran alishindwa kupitisha apo Iraq sasa njia nyeupe kwa Iran. Israel kwasasa rafiki zake wakuunni sunni,, not Shia shia ndio wanaongoza kumpelekea moto tena awataki ugaid awataki mtu kujiripua utosikia hezbollah kajirupua awataki izo mambo wao wanakutandika asubui asubui ukiwa macho awakuvizii wao sio waoga anaevizia ni muoga. Acha kudanganya watu
Kwanini USA-ISRAEL walikuwa wakiwashambulia ISIS kwa drones na airstrikes? Kwanini hawakuwaacha wapambane na serikali ya Bashar ,IRGC na Hezbollah ikiwa kweli wao ndio walikuwa wafadhili wa ISIS?
 
Kwahiyo unamanisha mashia sio waislam?
Hawako kabisa katika uislam kutokana na itikadi zao zenye kufru.

Wanawatukana,wanawakufurisha na kuwalaani wake wa Mtume Muhammad (pbuh) na maswahaba (wanafunsi wa Mtume Muhammad).

Wana itikadi nyingi za kikafiri na chimbuko la Ushia ni Myahudi aliyeitwa Abdallah ibn Sabai.
 
Back
Top Bottom