Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Sikushangai, kwani Mkenya ni nani dunia hii anamwita bwana zaidi ya mzungu?

Vipi, naona Wasomali wanawahenyesha huko, nyie na mabwana zenu.
Wasomali nao kimetua kwao kirusi, mlisema ni adhabu kwa wachoma kurani.
 
Naam kwa Mara ya kwanza china ya kubaliana na utafiti wa scientists wa Iran 🇮🇷🇮🇷

Itakumbukwa kuwa Virus vya Corona vilianzia China na kuenea hadi Iran ambapo imepelekea watu kupoteza maisha,

hata hivyo Iran iliapa kukabilia na Corona na kufanya tafiti chanzo cha virusi vya Corona, moja ilikuwa Ni kuchunguza iwapo Ni virusi Ni natural au vimetengezwa na mwanadamu,

tufahamu kuwa komandi ya IRGC ndo husimamia maswala aerospace engineering na science and technology Iran kwa lengo la kulinda nchi hiyo,

Katika tafiti mkuu wa IRGC Husein Salami ametoa taarifa na ushahidi wa kuonyesha Corona virus Sio Natural bali Ni biological warfare ambayo imeanzishwa na shirika la CIA ambalo ndo hulinda maslahi ya America kote duniani,

Bwana Salami alieleza baya kuwa Corona Ni silaha ambayo imetengenezwa kwa kukabiliana na G5 ya China pamoja na uchumi wa nchi na ushawishi duniani na kukabiliana na Iran baada ya USA kuona kwamba vikwazo dhidi ya Iran vimefeli,

hata hivyo Serikali ya China iliwatuma scientists wake chini ya komandi CPLA ya kuilinda nchi kuelekea Iran lengo la kushirikiana kwa ajili ya Corona,

Baada ya wiki 2 Jana waziri wa mambo ya nje wa China ametoa taarifa kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa USA ndo mwanzilishi wa Corona,na kuomba USA iweke wazi virusi vilianza lini USA na idadi ya walio ambukizwa na maeneo ambayo Kuna hizo hospital za USA ambazo zimewatenga wagonjwa wa Corona,

hata hivyo Serikali ya Washington imelaani taarifa hiyo ya China na kupelekea kumuita Balozi wa China kulalamika,
hata hivyo taarifa hiyo ya China imeungwa mkono na watalaamu wa Russia,
hata hivyo Iran wamesema kuwa Dawa ya Corona ipo njian takriban wiki 2 zijazo itakuwa tayari kupatikana katika maduka ya madawa na zaidi ya wagonjwa 730 wamepona
 
Uko kwa mtogole huko unabana pua 'viendelezwe tu'. Wakati vinaowabananisha huko wanaomba viondolewe. We endelea kula viazi huko acha wanaosoteshwa na vikwazo wenyewe waendelee kuomba labda watasikilizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ignorant troll
 
Bibi Umoja wa Mataifa na Marekani ni Kama Mwanamke Kiislam na Hijab!Ukiomba poo kwa UN ..umeomba poo kwa Kafri Marekani...!Mwisho wa siku Irani italainika tu ,Kama ilivyo Saudia ,Qatar ,Misr na Jordan!
 
Tukimaliza kuyadharau mataifa ya wenzetu kwa sababu ya huu ugonjwa
Yapaswa tutambue ngoma iko kwetu sasaa, nyie vinara wa dharauu wakati wenu umefika kuonesha huoo ujuaji wenuuu
 
UN na USA ni sawasawa na serikali awamu ya tano na policcm
 
Bibi Umoja wa Mataifa na Marekani ni Kama Mwanamke Kiislam na Hijab!Ukiomba poo kwa UN ..umeomba poo kwa Kafri Marekani...!Mwisho wa siku Irani italainika tu ,Kama ilivyo Saudia ,Qatar ,Misr na Jordan!
Na uliposoma hilo la kuomba "poo" ni wapi? Au unaota?

Ooh umemaanisha hijab kama ya mama yake Yesu? Ma Shaa Allah, hakika Waislam utawajua tu, hawajifichi.

Labda unachoshindwa kuelewa ni kuwa US inaelekezwa kibla na inakuwa taifa lenye Waislam wengi haraka sana. Hivi huelewi kuwa Makanisa huko US yanageuzwa misikiti? Na kujidai "makafiri" ni kutafuta pakutokea kwani hao wazungu wanakuita wewe mtu mweusi kafir. Au huelewi Hilo? Soma kijana.

Hapo sasa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14]
Uko kwa mtogole huko unabana pua 'viendelezwe tu'. Wakati vinaowabananisha huko wanaomba viondolewe. We endelea kula viazi huko acha wanaosoteshwa na vikwazo wenyewe waendelee kuomba labda watasikilizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipanic kijana wala usitokwe na povu hao wanaoekewa hivyo vikwazo walishasema na wanasema kilaleo niheri waendelee kua chini yavikwazo milele kuliko kuondolewa vikwazo kwamasharti yakipuuzi moja yasharti lakipuuzi sana kwao nikuachana na mpango wao wa Nyuklia

kama hamtapeleka dawa na kuondoa vikwazo sawa ila dawa watatengeneza wenyewe vikwazo vyenu bakisheni kwan italy kuna vikwazo gani mbna wanapukutika kama majani yakiangazi[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using My COVID-19
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]haka kajamaa bana! Iran wanaosota navyo wanaomba viondolewe ili vyuma vilainike, wewe ambaye hivi vikwazo havikulengi unapiga unazi JF visiondolewe, mara ooh bila masharti![emoji23][emoji23][emoji23] Ili tu upate kujifurahisha nafsi yako hapa JF international forum.
Wewe umebebwa mgongoni huwezi jua ugumu wala umbali wa safari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mm hua nawanukuu tu maneno yao kama mtaweka vikwazo namkataka kuvitoa kwamasharaiti basi endeleeni kuvieka tu mielle amina

ila kama mtaviondoa bila masharti sawa

Sent using My COVID-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…