Kumekucha: Trump anataka mafaili yote ya siri kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy yawekwe wazi kwa umma

Trump asipokuwa makini atauwawa kabla hajamaliza muda wake.
 
FBI/cia wali-out source mauaji ya malcom kama walivyo-outsource mauaji ya martin luther king jr na JFK, nation of islam hawakua na silaha,hawakubeba silaha,mipango na msaada wa utekelezaji ilitoka serikalini
 
Sawa nimekuelewa
 
ukiweka FBI na CIA sehemu moja unakosea. Mashirika mawili todauti, deparent tofauti kazi tofauti
Mostly kwenye hiyo case wa CIA, the shadow figure, hawa case zao nyingi hazina mwisho
 
Wote walihusika kwa malcom, CIA inashughulikia ujasusi(nje), FBI ushushushu(ndani),waliomfuata malcolm makkah,misri ni CIA
 
kaz ya serikai ni kupongeza wauaji wa raia wake ?
 
you have low IQ , sorry o write that...
 
FBI/cia wali-out source mauaji ya malcom kama walivyo-outsource mauaji ya martin luther king jr na JFK, nation of islam hawakua na silaha,hawakubeba silaha,mipango na msaada wa utekelezaji ilitoka serikalini
mwaka gan huo islamic world haikuwa na silaha , tujifunze kutetea vitu kwa mipaka
 
you have low IQ , sorry o write that...
Wewe kikaragosi ndio wa kujudge IQ yangu wewe?

Huwezi kuelewa nilichokiandika Wala huna ufahamu nacho hata kidogo, sidhani kama unajua chochote kuhusu hii mada hasa Kennedy's curse!

Sidhani kama unajua chochote kuhusu Malcolm X na sakata zima la kifo chake.

Eti "you have low IQ" pumbavu zako, nenda ambia mama yako mzazi ndio ana low IQ Kwa KULEA litoto lijinga kama wewe.

Matako ya shangazi yako.
 
kaz ya serikai ni kupongeza wauaji wa raia wake ?
Hiyo comment yangu hapo ina mchanganyiko wa meterphorisim na Syllogism pamoja na sarcasm, hivyo kilaza kama wewe huwezi kuelewa chochote... Utaishia tu kusema "you have low IQ" kitu ambacho naamini hata wewe ukijui zaidi ya kukariri tu neno "IQ"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…