Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump anataka kubadilisha idara za usalama za US ili aweke watu wake, kwa hiyo kuna watu anawatafutia sababu.He's digging his own grave 💀
FBI/cia wali-out source mauaji ya malcom kama walivyo-outsource mauaji ya martin luther king jr na JFK, nation of islam hawakua na silaha,hawakubeba silaha,mipango na msaada wa utekelezaji ilitoka serikaliniNinaongea ninachokijua sibishi tu ilimradi kubisha.. wakati wewe unauliza kuwa CIA walimfuata Nini kule Makkah na kutumia kama ground ya kutuaminisha wao ndio waliomuua Malcolm, na Mimi pia nikuulize Kwa hiyo binti yake Qubilah Shabaz alikuwa ni kichaa kwenda kuwalipa hitmen ili wamuue Louis Farrakhan ilihali akijua kabisa waliohusika na mauaji ya baba yake ni CIA/serikali?
Yaani unashindwa hata kutumia utashi wa kawaida kwamba sometimes ukiwa na uhasama na serikali hata maadui zako wengine wa pembeni wanaweza wakatumia huo mwanya kukumaliza wakijua Culprit itakuwa ni serikali.
Sawa nimekuelewaFBI/cia wali-out source mauaji ya malcom kama walivyo-outsource mauaji ya martin luther king jr na JFK, nation of islam hawakua na silaha,hawakubeba silaha,mipango na msaada wa utekelezaji ilitoka serikalini
Itatuliwe mara ngapi, muhisika alishakula kifungo miaka mingi sanaVipi kuhusu malcolm X? Kesi yake ilishatatuliwa?
ukiweka FBI na CIA sehemu moja unakosea. Mashirika mawili todauti, deparent tofauti kazi tofautiFBI/cia wali-out source mauaji ya malcom kama walivyo-outsource mauaji ya martin luther king jr na JFK, nation of islam hawakua na silaha,hawakubeba silaha,mipango na msaada wa utekelezaji ilitoka serikalini
Wote walihusika kwa malcom, CIA inashughulikia ujasusi(nje), FBI ushushushu(ndani),waliomfuata malcolm makkah,misri ni CIAukiweka FBI na CIA sehemu moja unakosea. Mashirika mawili todauti, deparent tofauti kazi tofauti
Mostly kwenye hiyo case wa CIA, the shadow figure, hawa case zao nyingi hazina mwisho
kaz ya serikai ni kupongeza wauaji wa raia wake ?Itatuliwe vipi na wakati waliomuua ni mablack wenzie akina Louis Farrakhan na Elijah Muhammad..!!
Yaani kama vile Lissu leo hii achalishwe na akina Mbowe pamoja na Yerico Nyerere, wewe unafikiri serikali ya CCM itajisumbua kudeal na wauaji sana sana itawapongeza tu wauwaji na kupuuza kesi.
you have low IQ , sorry o write that...Tuliza akili soma vizuri uelewa na usikurupuke tu kujibu comments ambazo huna uelewa nazo halafu unahitimisha Kwa interpretation zako unazotaka wewe.
Kuelewa comment yangu kwanza unapaswa kujua mahusiano ya Malcolm X na Louis Farrakhan na Elijah Muhammad yalikuwa vipi alikadharika na Nation Of Islam iliwaunganisha vipi Hawa watatu, pamoja na serikali ya US iliwachukuliaje Hawa watatu miaka hiyo hasa Malcolm X.
Kama huelewi chochote hapo, basi huwezi kunielewa kamwe Kwanin kwenye comment yangu nimehusisha mfano wa Lissu na Mbowe.
mwaka gan huo islamic world haikuwa na silaha , tujifunze kutetea vitu kwa mipakaFBI/cia wali-out source mauaji ya malcom kama walivyo-outsource mauaji ya martin luther king jr na JFK, nation of islam hawakua na silaha,hawakubeba silaha,mipango na msaada wa utekelezaji ilitoka serikalini
Wewe kikaragosi ndio wa kujudge IQ yangu wewe?you have low IQ , sorry o write that...
Hiyo comment yangu hapo ina mchanganyiko wa meterphorisim na Syllogism pamoja na sarcasm, hivyo kilaza kama wewe huwezi kuelewa chochote... Utaishia tu kusema "you have low IQ" kitu ambacho naamini hata wewe ukijui zaidi ya kukariri tu neno "IQ"kaz ya serikai ni kupongeza wauaji wa raia wake ?