Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
Ahsante kwa mada hii.

Nitapishana kidogo na mtazamo wako.

Tunaoa wanawake wenye historia mbalimbali huko watokapo,kiasi yapi wamepitia ni ngumu kujua.

Muhimu mwanaume ni kutokuwa wa kwanza kumuhukumu mkewe ila kujikita zaidi kwenye kujua ni kwa namna gani utamsaidia.

Mfundishe mkeo kupika kwa kutomuonesha hajui ,bali kama unamuelekeza kwa lugha nzuri na staha.

Usimtangaze kwa kila mtu, kwani siku zote wale unaowaambia hawatokuwa na msaada zaidi ya kumponda tu wasikusaidie lolote.

Tumia mazuri mengine aliyonayo kumsaidia kufunika udhaifu huo mdogo.
 
Back
Top Bottom