MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Majibu yake sasaKama ni rahisi pika wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majibu yake sasaKama ni rahisi pika wewe
Watu km hawa ndio wanafanya watoto wanakua mazezeta ndani,nikisikia haya your goneKabla hamjaoa muwe mnawafanyia interview au kama vipi awe amepitia kabisa shule ya mapishi.
Ushauri mwingine...sio lazima uoe. Ajiri mpishi awe anakupikia, mfanyakazi wa kufua na kufanya usafi. Watu kama nyie ndo mnaharibu taasisi ya ndoa kwa uvivu wenu.
Hadi sasa umeoa wake wangapi na wote hawajui kupika?
Si ndo maana nasubiri unipe jibu la ombi languSie wengine kupika ndio kipaumbele chetu
Ukitaka kumuhukumu nani? Upige naye story wapi? Kila jambo tunalojadili hapa ni general halijamlenga mtu specific.Kila napozidi kukusoma nakuona mtu mwenye mitazamo ya kizamani, unahukumu watu kwa kutazama zaidi mionekano yao ya nje, wakati kipimo sahihi cha kumhukumu mtu kwangu ni kukaa nae karibu, upige nae story, hapo ndipo utapata nafasi nzuri ya kumjua ni mtu wa aina gani.
Nikimuona mwanamke mwenye kucha ndefu kucha zake hazinihusu, zikinihusu basi ni mtu wangu wa karibu hivyo namfahamu ni mtu wa aina gani.Wewe unaonekana kabisa ukitembea barabarani ukamuona mwanamke na kucha ndefu tayari kwako hafai, coz ina small mind ya kuhukumu muonekano wa mtu kwa nje, kama ungekuwa na upeo mkubwa, ungekaa nae karibu umsome, tena anaweza hata kukufundisha mambo kwenye haya maisha.
Unatumia hisia sana kutoa hoja yako, ni kama kuna jambo lingine linakusukuma kuandika tofauti na mada husika. Hakuna sehemu nimelazimisha tufanane msimamo. Jaribu kutokukariri id, hili tatizo la kutumia hisia wakati wa kutoa hoja hutokana na kukariri id ambazo ni fake, hoja ikikukera unaibeba id halafu mbeleni kwenye hoja tofauti unatoa hoja kwa hisia za huko nyuma kuliko uhalisia wa mada husika.Mwisho kutofautiana msimamo kati ydtu ni lazima iwe hivyo, kwasababu watu wenyewe tumeumbwa tofauti, ndio maana kuna warefu na wafupi, wembamba na wanene, maji ya kunde na weusi au weupe, sasa wewe unapolazimisha tufanane mitazamo mimi nawe ili twende sawa hapa, nao ni upeo wako mwingine duni unaonionesha.
Again, unatumia hisia. Nikiona watu wanajadili mambo wapi nisidandie? Watu gani? Humu JF? Hiyo inawezekana vipi katika public forum?Bado unaishi ndani ya box, toka nje uijue dunia, halafu ukiona watu wanajadili mambo yao next time, usipende kudandia sema kwasababu ya upeo wako mdogo, sikulaumu sana.
Natumia hisia vipi wakati nimekupa mpaka mfano?!Ukitaka kumuhukumu nani? Upige naye story wapi? Kila jambo tunalojadili hapa ni general halijamlenga mtu specific.
Nikimuona mwanamke mwenye kucha ndefu kucha zake hazinihusu, zikinihusu basi ni mtu wangu wa karibu hivyo namfahamu ni mtu wa aina gani.
Unatumia hisia sana kutoa hoja yako, ni kama kuna jambo lingine linakusukuma kuandika tofauti na mada husika. Hakuna sehemu nimelazimisha tufanane msimamo.
Again, unatumia hisia. Nikiona watu wanajadili mambo wapi nisidandie? Humu JF?
Malezi mabovu ya utotoni, English medium schools na maisha ya kishua.JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
Kwer hii ni maajabuDaah kuna Dada mmoja tupo naye sehemu, amepata mchumba na jamaa yupo serious kuoa,huyu Dada hajui kupika,kila jioni anaingia darasa la kupika 😀. Na ni 34 now ,hata ndizi zao za kichaga hajui
Tunajadili mwanamke na kutokujua kupika na sababu zake.Natumia hisia vipi wakati nimekupa mpaka mfano?!
- Hii mada tunajadili mke, nashangaa tena unaniuliza nani? ndio maana nakwambia tatizo kwako upeo.
Hahaha, boss mimi sijasema hafai kuwa mke, Kufaa au kutokufaa ni suala la mwenye mke kulingana na ni nini anataka kwa mkewe. nimesema kipaumbele kikiwa kucha, kope, kigodoro hawezi kuwa na muda wa kinu, tangawizi na iliki. Nikakupa na mfano asubuhi kaamka wote mnatoka, atakuandalia chai au atapambana na kigodoro kikae sawa? Hoja yangu si kufaa na kutofaa, hoja yangu ni kipaumbele na muda wa kupambana na kucha, kope, kigodoro vs muda wa mapishi.- Kucha za mwanamke zikuhusu au zisikuhusu hilo mimi sijali, nachojali uniambie hizo kucha ndefu za mwanamke zinamzuia vipi kuingia jikoni mpaka uone hafai kuwa mke wa kuangalia familia?
Hisia ninazosema ni zile zinaonekana unaposoma hoja ya mtu. Mtu anahemka anachemka kwenye hoja ya kawaida kabisa kama ilivyokutokea. Yaani hoja kuwa mwanamke anayeendekeza kucha, kope, nyusi hawezi kuwa na muda na mapishi isababishe mambo mengiii mpaka kupigwa ban ya kutokujadili hoja za JF ambazo ni public tu.Hizo hisia unazosema natumia sijui unaziona wapi, unaonelana umesahau hata comment yako ya kwanza uliyo mquote Evelyn Salt, rudi kule mwanzo umsome urudishe kumbukumbu.
Mambo si magumu hivi hapa JF. Legeza ubongo kidogo boss.Next time learn to observe first before you jump talking.
😜😜😜😜NjooSi ndo maana nasubiri unipe jibu la ombi langu
Sema kuna wanaume hawajali, wao ili mradi usiku wanatengewa menu chumbani wao inatosha.Kitendo cha mwanamke kutokujua kupika tu probably pia hajui kufua, hajui kudeki yeye ni mfuga kucha, mpaka makeup hata kitanda hajui kutandika, haoshi vyombo ni mvivu ukimuoa jiandae kumsusia nyumba kwa uchafu, kila kitu atategemewa dada wa kazi.
Ndo aina ya wanawake ukimwambia akuchemshie hata chai anakuuliza kwani we huna mikono?
Ndio aina ya ke tulio nao kwenye jamii, sasa nioe yanini kama nitapika mwenyewe?Kama ni rahisi pika wewe
Fungua piemu😜😜😜😜Njoo
Kweli kabisaSema kuna wanaume hawajali, wao ili mradi usiku wanatengewa menu chumbani wao inatosha.
Kwangu mke atafanya kazi za home, hata kama kuna msaidizi kuna vitu mama anafanya kwa ubora zaidi, kwa upendo zaidi na vinaonekana zaidi.
Iko onFungua piemu
Sie ndo tupo utajua mwenyewe. Mbona mwanamke akiolewa kwaajili ya pesa mnashangaa. Pambaneni na hali zenu.Ndio aina ya ke tulio nao kwenye jamii, sasa nioe yanini kama nitapika mwenyewe?
NB: sioi ili nipikiwe
Mume wangu anahitaji mke wa pili maana nimeshazeeka. Njoo uchangamkie fursa fasta kabla hujachacha.Na wewe kwa akili hizi unajihesabia kabisa kwamba utakuja kuolewa! Labda ujioe mwenyewe hakuna mwanaume timamu anahitaji mke wa aina yako wallah!