Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

Watanzania wengi lakini zaidi wa mikoa ya nyanda za juu kusini na hawajui mapishi mazuri, tunahitaji kuboresha elimu ya mapishi nchini.
 
Wengine wako vzr.
Kuna huyo Gen Z, alikuja home kwangu.
Nikamwambia tukale mgahawani, akagoma.
Akasema si una jiko, unataka kula nini, nikajibu ndizi nyama.
Nikapewa list ya hivyo viungo, mpka vingine nilisahau.
Chakula kilikuwa bomba sana.

Huyu inaonekana kafundishwa vzr.
Nadhani she is pretending mkuu, Kaa nae wiki tu atakua amechoka kupika huyoo..
Anna kitu apo mkuu
 
Sie ndo tupo utajua mwenyewe. Mbona mwanamke akiolewa kwaajili ya pesa mnashangaa. Pambaneni na hali zenu.
Hatushangai ila jibu ulilotoa kama ndio mumeo unamfanyia hivyo kazi anayo.
 
Enzi izi za magesi, mapresha kuka na majiko ya umeme bado unasubiri mwanamke akupikie, auna njaa wewe[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Enzi izi za magesi, mapresha kuka na majiko ya umeme bado unasubiri mwanamke akupikie, auna njaa wewe[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Au nami sijaelewa mada japo mmesoma cuba[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Napika ninachoweza kupika. Kama ataona chakula kibaya atafute alternative. Wakati anataka niwe mke wake hakuuliza kama najua kupika.
Kama ni hivyo sawa ila sio uache kupika kwa kisingizio cha apike yeye.
 
Back
Top Bottom