Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

siku hizi kuna baadhi ya migahawa wanapika vizuri sana kushinda mapishi ya akina mama majumbani. Huko majumbani ni tia maji tia maji...kila mboga wakichemsha wanachuja maji wanaweka mafuta, weka vitunguu weka nyanya tia kaloti weka chumvi funikia....wakichanganya kidogo mzigo umeshushwa chini tayari😛.
Mimi nafikiri sababu ni wengi wametokea familia duni sana, ndio maana hawajui kupika maana hawakubahatika kuona mapishi tofauti. siku hizi ni chemsha changanya....tu
 
Kizazi Cha ef2 au Generation Z
Wife angu nikizaz ch ef2 ayo mambo nagombana naye Kila siku, Leo kanunua kuku bloiler nusu aliekaangwa kanipikia na ugali, hii nimekuta kwenye hotpot nilivorudi mishee wazee..😄 Af kimelala na kinataka mambo.
 
Tatizo ni mama zao....mtoto mpaka anamaliza pr level hajui kubandika chai wala kukoroga sufuria ya uji wa ugali...kila kitu ni dada

Akimaliza class 7 anaenda boarding sch ,akimaliza hapo anaunganisha chuo...huyo bint kupika atajua saa ngapi?

Wamama wa karne hii ni chanzo cha haya.
 
Kizazi Cha ef2 au Generation Z
Wife angu nikizaz ch ef2 ayo mambo nagombana naye Kila siku, Leo kanunua kuku bloiler nusu aliekaangwa kanipikia na ugali, hii nimekuta kwenye hotpot nilivorudi mishee wazee..😄 Af kimelala na kinataka mambo.
Na leo ukila hlf ukanyamaza kimya kesho utakuta kanunua chips kabisa kaweka kwa hotpot....
Na ukiendelea kunyamaz siku akiwa na mtoto atamlisha ugali na kachumbari.
 
1. Hawajui wajibu wao
2. Walishaambiwa haki sawa
3. Wamezoea kula vya lodge na gesti,bure(japo badae wanalipa tu)
4. Hawababaishwi na wanaume
5. Muda wa kupikia familia zao,wanautumia kuzurula na kufanya uzinzi tu.
Kwa kifupi, wamepata mbadala
 
Kizazi Cha ef2 au Generation Z
Wife angu nikizaz ch ef2 ayo mambo nagombana naye Kila siku, Leo kanunua kuku bloiler nusu aliekaangwa kanipikia na ugali, hii nimekuta kwenye hotpot nilivorudi mishee wazee..😄 Af kimelala na kinataka mambo.
Wengine wako vzr.
Kuna huyo Gen Z, alikuja home kwangu.
Nikamwambia tukale mgahawani, akagoma.
Akasema si una jiko, unataka kula nini, nikajibu ndizi nyama.
Nikapewa list ya hivyo viungo, mpka vingine nilisahau.
Chakula kilikuwa bomba sana.

Huyu inaonekana kafundishwa vzr.
 
Back
Top Bottom