Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

Kuna mwanamke alikuwa ni rafiki yangu sasa siku nikiwa nataka kula na marafiki nilikuwa nanunua kuku then namuandaa inabaki kumpika tu

Sasa alikuwa akija anapika mboga then Mimi napika wali n.k

Alipokuwa akiivisha wakati wa kula anajisifu Kuwa anajua Sana kupika kuku.

Wakati kuku inajulikana hata umchemshe anabaki kuwa mtamu umkaange anakuwa mtamu, umchome au kumbanika anakuwa mtamu.

So ukisema unajua kupika au haujui tuambie na aina ya vyakula.
 
Mabinti wengi wamejikita kwenye Mitandao ya kijamii, kupiga picha kali na kuzipost. Furaha yake akisifiwa ni mzuri au anatako kubwa, baasi ndo hayo. Muda wa kujifunza kupika haupo.
Kuna haja ya binti kua na cheti cha mapishi ku qualify kuingia ndoani.
 
Ukiuza karanga kwenye hospitali ya meno labda muuguzi ndo anunue. Watu hawajalala jana usiku unawauliza kama wanapenda karanga? Ukitaka mwanamke jua unataka nini kwake, unataka mapishi huku kigezo ulichomchagulia ni makalio wewe ni muuza karanga kwenye wodi ya meno, ukipata mteja ni bahati tu. Hii dunia inakupa kila kitu ni wewe tu na vipaumbele vyako.
 
Chanzo ni pressure cooker na rice cooker, zimewafanya wanawake wawe wavivu sana, hapa nadaiwa 120,000/= ya kununua pressure na siitoi leo wala kesho mpaka mtu anyooke.
Pressure cooker ni kupunguza gharama na muda, maharage badala ya kupika masaa mawili dakika 30 yapo tayari mnakula.

Rice cooker usimnunulie atakua anakuchemshia ubwabwa, ninunulie mimi mwaya 😊
 
Back
Top Bottom