Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kwan kupika ni inshu ngumu sanaKama ni rahisi pika wewe
Tena wajinga wengine walivyo wajasiri mpaka wanaanzisha migahawa na wakat hawajui kupika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan kupika ni inshu ngumu sanaKama ni rahisi pika wewe
Sio ngumu. Sasa sijui huyu mwenzenu anashindwa nini. Amfundishe mwanamke wakeKwan kupika ni inshu ngumu sana
Tena wajinga wengine walivyo wajasiri mpaka wanaanzisha migahawa na wakat hawajui kupika
Hatupendi ndio maana hatujui.Mtu kutokujua kupika ni maamuzi tu.
Yani uwe na dhamira kabisa ugali, wali maharage vikushinde kupika!
Kiukweli sio kitu changu, na sijalelewa hivyo.Unakwama wapi 😁
Boss, Binadamu ana vipaumbele. Chukua wanawake 5 ingia nao super market waambie wachukue chochote mwezi mzima huku ukiwachunguza wanachukua nini utaelewa kwanini kipaumbele kikiwa kucha, kope, tako basi muda wa iliki, tangawizi, samaki hauwezi kuwepo.Kiuno, tako na kucha havimzuii mwanamke kupika, acha ushamba wakutaka twende wote vijijini kutafuta wake.
Demi Tuna wanawake wana hela kutuzidi ila wanaingia jikoni! Hawa ni vijana ambao hawajaoa ujue. Too theoreticalUna maneno mengi yasiyo na maana.
Labda tuanze kwa kufahamu wewe umeishi na wanawake wangapi ambao hawajui kupika?
Kwako mwanamke akijipenda automatically anakuwa hajui kupika wala kumuangalia mume na watoto, na akikata kucha kila siku huyo kwako ndio mpishi mzuri!.Boss, Binadamu ana vipaumbele. Chukua wanawake 5 ingia nao super market waambie wachukue chochote mwezi mzima huku ukiwachunguza wanachukua nini utaelewa kwanini kipaumbele kikiwa kucha, kope, tako basi muda wa iliki, tangawizi, samaki hauwezi kuwepo.
Ukumbuke, mwanamke atapika kwa ajili yako ila kwa % kubwa hawi mrembo kwa ajili yako tu.
Halafu kuna wanawake hapa hapa mjini ambao mume na watoto ndo kipaumbele kisha kucha kope ndo zinauata.
kuna mmoja msanii alisema haujui ugali alooJANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
Tafsiri ya kujipenda inatofautiana. Sijui kwako unaitafsirije. Tukikubaliana kujipenda ni nini tunaweza kufika muafaka otherwise tutatofautiana tu. Mfano mm naweza sema kujipenda ni kuoga uwe msafi uchane nywele ila wewe ukasema kujipenda ni kuweka kucha za bandia na kung'oa nyusi upake hina kila baada ya siku mbili hapa hatutafika muafaka, tutabishana badala ya kujadili sababu tafsiri ya kujipenda ni tofauti.Kwako mwanamke akijipenda automatically anakuwa hajui kupika wala kumuangalia mume na watoto, na akikata kucha kila siku huyo kwako ndio mpishi mzuri!.
Maisha hayapo fixed kama mwamba, yapo tofauti tofauti ndo maana hapa tumetofautiana tayari mtazamo.Wacha kuishi kwa kukariri, maisha hayako hivyo.
Mwanamke ambaye kipaumbele chake ni kope, nyusi, kucha, kigodoro hafanyi hayo kwa ajili yako tu, ni either kazi yake inamlazimsha au anataka kuvutia wanaume. Huwezi niambia asubuhi mkeo atatumia nusu saa kurekebisha kigodoro kikae sawa kwa ajili yako kwa gharamaya kukosa muda wa kuandaa chai ambayo ungeinywa, Suala la kujiamini ni suala lako umelifikiri tu.Na hilo la kusema mwanamke hawi mrembo kwa ajili yangu tu umelitoa wapi? una tatizo la kutojiamini kumbe...
Hakuna sehemu yoyote nimesema mwanamke wa kijijini, sijasema kuibiwa, sijaongelea kuchapiwa. Ni assumption ulizojitengenezea, scenario za kufikirika ulizojitengenezea. Hapa tunaongelea vipaumbele vya mwanamke. Kama kipaumbele ni kucha, kope, kigodoro usitegemee atatenga muda wa iliki, nazi, mdalasini zaidi ya hivyo vitu ambavyo ni kipaumbele kwake. Na hivyo vitu si kwa ajili yako wewe mume wake tu.Ndio maana unaogopa mwanamke anayejipenda kwasababu unajua utaibiwa, sasa nikwambie kitu, hata huyo wa kijijini unayejidai nae ananyoa upara nae watamchapa tu!
Meneja aitwe.Hata mahotelini hawajui kupika.
Ukipewa mawali ni kama tope yananuka moshi .... wanapika ilimradi.
Kama ni malezi yako na haijakuletea shida hadi muda huu. hakuna tatizo kubwa sana hapoKiukweli sio kitu changu, na sijalelewa hivyo.
ChaiJANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
😂Mwanamke ana kucha ndefu za kubandika, hivi huko jikoni hata kupika ugali ataweza?