Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

Pressure cooker ni kupunguza gharama na muda, maharage badala ya kupika masaa mawili dakika 30 yapo tayari mnakula.

Rice cooker usimnunulie atakua anakuchemshia ubwabwa, ninunulie mimi mwaya 😊
Sasa itakuwaje mimi napenda ubwabwa na maharage vya kupikwa kwa mkono ndio vitamu, mwanamke sifa yake utundu wa jikoni bana.
 
Kwann mwanaume kutokujua kupika haiwi issue? Kwann mwanamke aandaliwe kumpikia mwanaume?

Kwenye ndoa kama hakuna house girl, basi kupika ni kwa zamu. Kama mna uwezo wa kuajiri house girl basi ndiyo itakuwa kazi yake. Siku house girl akiugua hotel zipo
 
Pressure cooker ni kupunguza gharama na muda, maharage badala ya kupika masaa mawili dakika 30 yapo tayari mnakula.

Rice cooker usimnunulie atakua anakuchemshia ubwabwa, ninunulie mimi mwaya 😊
Eve wala usihangaike kuelewesha, tatizo wakati wa kuchagua vipaumbele si mapishi ni kucha, kiuno, wowowo n.k halafu tunataka tukishaweka ndani akate kucha akune nazi na kuponda tangawizi kwenye kinu.
 
Eve wala usihangaike kuelewesha, tatizo wakati wa kuchagua vipaumbele si mapishi ni kucha, kiuno, wowowo n.k halafu tunataka tukishaweka ndani akate kucha akune nazi na kuponda tangawizi kwenye kinu.
 
Kwann mwanaume kutokujua kupika haiwi issue? Kwann mwanamke aandaliwe kumpikia mwanaume?

Kwenye ndoa kama hakuna house girl, basi kupika ni kwa zamu. Kama mna uwezo wa kuajiri house girl basi ndiyo itakuwa kazi yake. Siku house girl akiugua hotel zipo
Hii dunia inakupa yote mkuu. Ukitaka wa hivi we oa mwanaharakati wa haki za wanawake. Mtafanya kwa zamu ufurahi. Yaani hakuna sababu ya kulalamika, kila kitu kipo ni uchaguzi wako.
 
JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
Vitu vingi vimerahishwa kwenye mambo ya jikoni kama rice cooker,tea maker,sandwich maker,lakini labda useme wawe wabunifu kwenye aina gani za misosi siziwe zile zile zina boa kwakweli,but pia ni mtu binafsi kujifunza na kuwa na hobby ya ishu za jikoni au upishi
 
Eve wala usihangaike kuelewesha, tatizo wakati wa kuchagua vipaumbele si mapishi ni kucha, kiuno, wowowo n.k halafu tunataka tukishaweka ndani akate kucha akune nazi na kuponda tangawizi kwenye kinu.
Kiuno, tako na kucha havimzuii mwanamke kupika, acha ushamba wakutaka twende wote vijijini kutafuta wake.
 
Shida wanawake wengi, wanajua mwanamke kupika anazaliwa nako, kumbe kupika ni elimu, usipoipata chuoni, unatakiwa ujifunze kwa wanajua.
 
Kuna mwanamke alikuwa ni rafiki yangu sasa siku nikiwa nataka kula na marafiki nilikuwa nanunua kuku then namuandaa inabaki kumpika tu

Sasa alikuwa akija anapika mboga then Mimi napika wali n.k

Alipokuwa akiivisha wakati wa kula anajisifu Kuwa anajua Sana kupika kuku.

Wakati kuku inajulikana hata umchemshe anabaki kuwa mtamu umkaange anakuwa mtamu, umchome au kumbanika anakuwa mtamu.

So ukisema unajua kupika au haujui tuambie na aina ya vyakula.

Nadhani hata "utamu" wa kuku au chakula chochote inategemeana na umeshakutana na wapishi wazuri wangapi..

Kuna watu wanajua kupika chakula ili mradi watu wasife

wengine wanapika chakula kinacholika

Wengine wanapika chakula kitamu kikawaida

Halafu kuna mafundi wa kucheza na spices kiasi hata akipika mchemsho lazma ukubali
 
Wazee wa kujipakulia minyama
Nikisema napenda minyama kuna mswahili hapa atasema nilijua tu huyu anapenda wowowo!

Labda mi" najipakulia vinyama.

Sema issue ya ku save muda ni kweli, anachelewa sana siku nyingine kurudi home, mafoleni ya Dsm sio poa.
 
Back
Top Bottom