Tayari nishakuwa dogo,,Sasa nimekuelewa.
Wewe itakuwa ndio wale somasoma ambao wanategemea numbers za kwenye vyeti vyao ndio Ziwatoe kimaisha.
Mwajili yetote mwenye akili hawezi kamwe kutumia kigezo cha ufaulu mkubwa kwenye cheti kukupa ajira, toa hilo akilini dogo.
Tena waajiri wengine wakiona una marks kubwa kwenye cheti hakupi kazi anajua wewe ni somasoma hauna skills out of your books.
Wanajikanyaga tu, binafsi siwaelewiAccording to waasisi wa mchakato huu, ni idadi kupunguzwa.
Hii nchi ina mambo ya ajabu sanaJust imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
Kwahiyo unataka na mwajili aajili mtu kwa uwezo wake wa kukalili vitini na vitabu na kuhamishia kwenye karatasi ya mtihani?Tayari nishakuwa dogo,,
Hoja yangu nikuwa, hiyo assessment waliyokufanyia kwenye interview ni sawa na ile waliokufanyia TCU na NECTA sasa kuna haja gani ya kurudia rudia
Hawa watoto wana vichaa mkuu!Ina maana wakienda kuajiriwa private hospitals na huko shule binafsi huwa hawapigwi interviews ?
Haya majitu ni illiterate vibaya mno , yaani hoja zao ni mfu kabisa .
No Wonder hizi sekta zinasuasua sana kutokana na ukilaza wa watendaji wa ovyo kama hawa
Mkuu mimi sikufanya usaili wowote mbona unanigeukiaKwahiyo unataka na mwajili aajili mtu kwa uwezo wake wa kukalili vitini na vitabu na kuhamishia kwenye karatasi ya mtihani?
Kama uliji sacrifice maisha yako ili upate marks za juu kwenye vyeti ukijua ndio itakuwa ticket yako kupata kazi pole sana, inaonekana hata social skills ulikosa kwa kutumia maisha yako yote kukalili vitini kwa sababu mambo ya kuajiliwa kwa kuangalia ukubwa wa marks kwenye cheti hayapopo tena, yalikufa zamani sana baada ya waajiri kujua kuwa mtu kuwa na marks nyingi kwenye vyeti hakumfanyi kuwa competent kwenye kazi.
Interview ni muhimu…..Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
Mkuu Kwa hiyo ma doctors kwenye hospital zetu wamejaa tele . Si ndio?.Huna unachojua ,Madokta ni wengi sana sikuhizi
Attitude test? MmmhAcheni woga, mbona sisi wahasibu tumepitishwa na NBAA lakini tunapigwa attitude test maswali 100
Ni muajiri mjinga tu ndio anaweza kutoa ajira ya kitaaluma bila kufanya interviewKozi za Sayansi, sioni umuhimu wa interview, iwe Oral au written.
Ila kunae wengine wamepita kwa njia za panyaa, hakuna namnaa.
Lol
Miaka mitano ndio nn? Architects wanasoma pia miaka mitano, mbona ajira zao miaka yote wanafanyiwa interviewHao
wahasibu wamesoma miaka mitano?
Hivi unaujua mziki wa medical school?
Hujui kwanini zamani walikuwa wanaajiliwa moja kwa moja?
By the way mimi ninla saba B ninabobea kwenye uchawi nilichokifanya ni kuwasemea hawa watu tu mkuu
Nisamehe bure
Hakuna eneo linatosha wala usitake kuongopa. Pia kuna uhaba wa engineers, Kuna uhaba wa wataalamu wa ICT, Kuna uhaba wa walimu n.kSasa serikali mna somesha madaktari kwa pesa nyingi, kumbuka hii kada Ina wapungufu wa waataalumu wa afya kila idara.
Doctor amethibitishwa na MCT. Lakini Tena kufanyiwa interview kwenye hospital ya wilaya TU, jamani.
Mimi na shauri interview wafanyiwe kwenye hospital kubwa ( mzena). kwa ajili ya kuwaandaa ma doctors bingwa TU.
Hivi tunavyo jadili tayari kimeshaumana huko kwenye interview.
Ma doctors tz ni wachache , wanatakiwa wote waajiriwe ili kuboresha huduma za afya kwa wananchi wetu.
Usinipigie kelele mimi ,kampigie mama yako samia mwambie afute sahili ili wewe upite tu na kupata kazi bila sahili na wengine maelfu walioomba kama wewe wanyimwe kazi .Mass unemployment. Baada ya kukosa ubunifu, unaona interview ndio suluhisho la hiyo mass unemployment mkuu??
Usinipogie kelele mimi ,kampigie mama yako samia mwambie afute sahili ili wewe upite tu na kupata kazi bila sahili na wengine wanyimweMass unemployment. Baada ya kukosa ubunifu, unaona interview ndio suluhisho la hiyo mass unemployment mkuu??
Chief, sipingi usaili ila naomba nikuswalike swali
Hivi lengo la usaili ni kuchuja idadi au ubora?
Kama ni idadi vipi mtihani wakifaulu wote watatumia kigezo gani kingine kupata hao 20 out of 200
Aisee we jamaa ni mwehu , hivi ni wapi huko ambapo huwa mnapata ajira bila interviews ?Mkuu hadi hapa sina swali kwako nimeridhika na hoja zako
Interview haina maana kama wanahitaji kuchuja idadi kwa kuangalia marks nawatumie kigezo cha GPA wenye gpa kubwa waanze kuajiriwa wenye ndogo waachwe kwani assessment wanayoifanya ni sawa na ile iliyofanywa na NECTA na TCU
Huwa sijadiliani na mtu kwa lugha za matusi na kebehi nafanya majadiliano kwa hoja mkuuUsinipogie kelele mimi ,kampigie mama yako samia mwambie afute sahili ili wewe upite tu na kupata kazi bila sahili na wengine wanyimwe
Boya wewe
Mbona watu wa afya na elimu ni viazi hivi ?
Hivi huko kwenye hizo course zenu mnasomea ujinga ?
Hata logic ndogo kama hizo hamuwezi ,nini mnaweza ninyi
Aisee we jamaa ni mwehu , hivi ni wapi huko ambapo huwa mnapata ajira bila interviews ?
Acha ujinga wewe .
Au ndio ninyi wazee wa hongo za pesa na ngono na kujuana kwenye kupata kazi ?
Kipigwe kipute kwa uwazi ,anayefaulu apate kazi na si mambo ya gizani na kuendekeza ukilaza kama inavyotaka ninyi ,wewe kama una GPA kubwa basi GPA yako kubwa na ireflect umahiri wako kwenye interviews pia .
Marekani lazima ufanye paper zao ndio watambuwe udaktari wako achilia mbali interview.Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
Yani mzee nimeichukia fani ya afya na siwezi kumshauri kijana asome.Hii fani unakula pesa yake huku ukiwa umechoka sana😅
Boss iko wazi uliishia la saba B tena ya chini ya mwembe😅Aisee
Yaani marks zao huko shuleni ndio wana deserve wanadamu wawape everything kwa lazima
Umekuja kwenye hospitali yangu,eti nisikuhoji sababu umepata A shule,who the fvck are you?
Unajua hospitali imetoka wapi hii?Do you actually know how much I sweated to get money and run this motherfvcker kiasi kwamba uje eti una vi-A vyako huko shuleni of which I do not care eti nisikuhoji?
Kwanza kazi sikupi,Haya kalime ukahojiwe na shamba basi!