Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Tayari nishakuwa dogo,,Sasa nimekuelewa.
Wewe itakuwa ndio wale somasoma ambao wanategemea numbers za kwenye vyeti vyao ndio Ziwatoe kimaisha.
Mwajili yetote mwenye akili hawezi kamwe kutumia kigezo cha ufaulu mkubwa kwenye cheti kukupa ajira, toa hilo akilini dogo.
Tena waajiri wengine wakiona una marks kubwa kwenye cheti hakupi kazi anajua wewe ni somasoma hauna skills out of your books.
Hoja yangu nikuwa, hiyo assessment waliyokufanyia kwenye interview ni sawa na ile waliokufanyia TCU na NECTA sasa kuna haja gani ya kurudia rudia