Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Nakubali kwa asilimia zote
 
Si kweli naona ni upungufu tu wa akil...
 
Mwanaume asiyejiamini pekee ndo anaweza kufanya huo ujinga!!!!!
 
ukiona hvyo yan huyo mwanamke alikukubali coz alikuwa anashida za kiuchumi au maden huko kwao lakin wengi walioana kwa true love watu wanaish vizur tu
Acha ujinga wewe, unadanganyaje Watu wazima kizembe hivyo nakati mitaani tunawaona na hata kwenye madawati ya jinsi ya Ke na Watoto wameachika sana kwa sababu hizo hizo za biashara & kazi?
 
Niliambiwa huu ujinga na Ke wangu, nikacheka kimya kimya rohoni hiiiiiiiiiii(Late JPM'S voice)[emoji847]

Kilichofatia hadi sasa haamini [emoji2]
Ni mchumba siyo mke. Somesha mkeo halali ila vijana wa chuo lazima wakapone hosteli huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…