Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Aisee!!! hili jambo limenikuta jamaa!!! mwaka juzi nilimfungulia biashara ya samaki umla na rejareja hapa dsm,nikamlipia frem,freezer mbili,mashine ya kukatia nyama na cash,da!! si akakimbilia pasipojulikana na mwanagu wa mdogo w kiume,nabado akwa ananismbua nimtumie ela ya mtoto,nikamblock,,,,niliangukia kua mlevi ila kwa sasa naanza kumsahau!!!,,,,,,'jah bless'
Duh pole sana
 
Wenzetu wa nchi za magharibi na ulaya washafika huko. Kwao mtu akioa/kuolewa wanamshangaa kama sisi tunavyowashangaa wasiyooa na waliyoolewa. Kwahiyo na sisi inakuja kwa kasi ya 4G
Wanakuwa kama wanyama, mwanamke akijisikia kuwa na watoto anamtafuta bwana mwenyewe na kupewa mimba na habali ya kutunza watoto ni yeye mwenyewe anajua, me hana habali.
 
Ungesema kwa michepuko hapo sawa lakini kwa mke wa ndoa hapo umechemsha my!

Kwa kumfungilia mchepuko ni sawa na kutupa rasilimali za familia lakini kwa mke wala haina neno.

Maisha ya ndoa ni pamoja na kutimiza majukumu ya familia Kwa kushirikiana na sio utegemezi.
 
Sasa with economic insecurity unawezaje kupima na kujua kuwa huyo mwanamke anakupenda Kwa dhati ya moyo ni sababu hana uwezo wa kusimama mwenyewe Kwa hiyo anampenda Mwanaume sababu ya kupata pesa na ahueni ya maisha ?

Financial freedom ndio kipimo mojawapo cha kuwa mwanamke anakupenda Kwa dhati.

Kwamba pamoja na kuwa na fedha za kufanya maendeleo na sio kujikimu tu lakini bado anakuhitaji Mwanaume kwenye maisha yake maana yake hakufuata pesa kwako bali amesukumwa na upendo wa kweli.
 
Eti sivyo atakuacha akiwa na financial security!

Ni Sawa ukimzingua anakuacha ndio!

Nikuulize Kwani ndoa zenye wanawake ambao wako insecure haziachani ?

Unayo Habari kuwa kwa mujibu wa takwimu kuwa mikoa ya ukanda wa mwambao wa Pwani ndiko wanaongoza kwa kupeana talaka ?

Je wanawake wa maeneo hayo wana financial security gani?

Walosoma wenyewe wanahesabika?!
 
Sababu za wanandoa kuacha sio moja hiyo ya wanawake kukosa kuwa na financial insecurities kama ulivyoandika,

Tena hiyo haipo Hata kwenye sababu za msingi labda za nyongeza.


Sababu za msingi zipo na zinajulikana wazi.
 
IMG_8864.jpg
 
Back
Top Bottom