Duh pole sanaAisee!!! hili jambo limenikuta jamaa!!! mwaka juzi nilimfungulia biashara ya samaki umla na rejareja hapa dsm,nikamlipia frem,freezer mbili,mashine ya kukatia nyama na cash,da!! si akakimbilia pasipojulikana na mwanagu wa mdogo w kiume,nabado akwa ananismbua nimtumie ela ya mtoto,nikamblock,,,,niliangukia kua mlevi ila kwa sasa naanza kumsahau!!!,,,,,,'jah bless'
Wanakuwa kama wanyama, mwanamke akijisikia kuwa na watoto anamtafuta bwana mwenyewe na kupewa mimba na habali ya kutunza watoto ni yeye mwenyewe anajua, me hana habali.Wenzetu wa nchi za magharibi na ulaya washafika huko. Kwao mtu akioa/kuolewa wanamshangaa kama sisi tunavyowashangaa wasiyooa na waliyoolewa. Kwahiyo na sisi inakuja kwa kasi ya 4G
Siyo wanakuwa kama wanyama. Bindamu ni mnyama.Wanakuwa kama wanyama
Sawa ila namaanisha wanyama wasiovaa nguoSiyo wanakuwa kama wanyama. Bindamu ni mnyama.