Kumfunika Kapt. John Komba na Katapilla ilikuwa dharau


huwa wanafukia kwa mikono....then kaburi linajengewa zege pale pale baada ya kufukia,ni dhahiri hili la komba mfuniko ulijengwa kabla na unavyoonekana na mzito.
 
Huyo ndo kadoda yeye ana deal na typing error.
 
Hata mimi nilishangazwa sana. Wakati wa Nyerere mbona hatukuona mambo haya? Au ni toleo jipya? Katapila kufunika kaburi? Au kwasababu Komba alikuwa mnene wakaona kuwa mfuniko nao utakuwa mzito sana hivyo watumie katapila? Mbona jeneza lilibebwa na watu sembese mfuniko??!!
 
huwa wanafukia kwa mikono....then kaburi linajengewa zege pale pale baada ya kufukia,ni dhahiri hili la komba mfuniko ulijengwa kabla na unavyoonekana na mzito.
Mbona la Nyerere mfuniko ulitengenezwa kabla lakini haukunyanyuliwa na katapila?
 

Labda waliona kwa ule mwili anaweza kufungua mfuniko akatoka
Sasa wakaona dawa ni kumwekea uzito wa ajabu juu
 
Tafsiri yake aende asirudi tena
 

Mzimu wa jj warioba unafanya kazi
 
Hapo hakuna dharau, huo mfuniko utakuwa mzito sana. Kwanza kwa jinso mfuniko ulivyo ni ishara tosha ya heshima. Badala ya kijiko wangeweza kutafuta crane ambayo yawezekana haikupatikana.
 
Jamani, tutafakari mambo mengine. Dharau kwa nani? Na kwa lengo gani? Huu ni wakati wa teknolojia. Nyerere amekufa miaka mingapi iliyopita? Kwa nini watu waendelee kukariri mambo ya zamani? There is no issue here. Ingetokea wakaubeba ule mfuniko halafu akatokea mtu akaumia mngelalamika ni kwa nini hawakutafuta kijiko au crane.
 
Binafsi naona mtoa mada hana maono/exposure;
Kama hujui yanayo endelea duniani piga kimya, usichefue watu!!!!

Nafikiri utafakari mambo ya msingi yanayokuhusu achana na kutafakari marehemu ambaye amesha tangulia mbele ya haki!
 
Nu
Inategemea mfuniko ulikuwa na uzito wa gani ngapi. Pili, hivyo ndivyo familia na kamati ya mazishi walivyokubaliana.

Vv
 
Maana yake asirudi tena hata siku ya kufuliwa apate tabu kuligungua kaburi lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…