Kumfunika Kapt. John Komba na Katapilla ilikuwa dharau

Kwani mbinguni unaenda mwili?
Maana kama ni mwili tungesema yes wameudhibiti maana ulikuwa mkubwa sana
 
Last edited by a moderator:

---- tu komba acha atangulie walau masikio yetu yapumzike kusikiliza upumbavu wake.
 
Last edited by a moderator:
Ni tendo la kuudhibiti mwili linaathiria na roho yake pia imekwenda kuzimu na moto wa milele.

Kwani mbinguni unaenda mwili?
Maana kama ni mwili tungesema yes wameudhibiti maana ulikuwa mkubwa sana
 
Why use energy mahali ambapo kuna mashine? Siku hizi kuna mijamaa kama mivuta bhange flani hivi inachimba na kufunika kaburi. Wanalipwa hela. Zamani i bet kaburi lilichimbwa na majirani. Sasa watu wenyewe wanaomzika ni kina lowassa, huo mfuniko wangeubebaje kwa mfano? Hebu acha gubu mtoa mada
 
Katapilla ndo mnyama gani?
 
Kwani Wagalatia mnazika au mnahifadhi !?........kaburi lina tlles !?........labda kwavile wamemhifadhi na yale macheni yake ya dhahabu ndipo wakaweka mfuniko wenye tani kadhaa ! :rip:
 
Walitumia catapila ili asije toka ndani ya kaburi akaleta shida kwa watanzania
 
Kwani Wagalatia mnazika au mnahifadhi !?........kaburi lina tlles !?........labda kwavile wamemhifadhi na yale macheni yake ya dhahabu ndipo wakaweka mfuniko wenye tani kadhaa ! :rip:
CCM walifanya hujuma ule mfuniko ni zaidi ya tani 2
 
Walitumia catapila ili asije toka ndani ya kaburi akaleta shida kwa watanzania

..........mtu akiingia msituni kumpata ni shida !.........Kony mpaka leo anawasumbua mpaka wakubwa (Marekani) kumpata !
 
Sio kweli uzito wa ule mfuniko uliojazwa sment ambayo haijakauka vizuri hata wangeshika watu 100 wasingeweza kubebaa ni jambo la kawaida
 
Huyu jamaaa hatabiriki mfuniko mkubwa uliwekwa makusudi bila hivyo angetoroka nakumsumbua Mzee Warioba

CCM walikuwa hawajaamini kama komba ameshakufa hawezi kurudi tena?
 
Sio kweli uzito wa ule mfuniko uliojazwa sment ambayo haijakauka vizuri hata wangeshika watu 100 wasingeweza kubebaa ni jambo la kawaida

Jambo la kawaida mbona hatukuona kwa marehemu kanumba.
 
Kama unakumbuka hata Nyerere kaburi lake lilitengenezewa mfuniko pembeni ila wanajeshi waliubeba.

Raia kubeba huo mfuniko wa zege mmmmh ngumu. Na kwa kuwa Komba alitaka kaburi lake liwe na mfano huo wangefanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…