MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Mashabiki maarufu wa mpira Tanzania
10. GB 64
Huyu ni Shabiki maarufu wa Simba sc ambaye amekuwa gumzo sana siku za hivi karibuni hususan baada ya kupata mizengwe kutokana na kauli zake dhidi ya uongozi wa timu yake.
9.Aggy Simba
Huyu mwanadada jasiri na shabiki lialia wa Simba sc ambaye siku za hivi karibuni amesimamishwa uanachama kutokana na kauli zake.
8. Akilimali Makame
Shabiki maarufu wa Yanga sc ambaye kila safari ya Yanga lazima utamuona.
7. Mzee wa Saluti
Shabiki maarufu wa Simba, maarufu kwa kupiga saluti pale goli linapofungwa
6.Shetani Yanga
Shabiki maarufu wa Yanga maarufu kwa kujichora na kutoa kauli zenye utata
5.Mzee wa Kigelegele
Shabiki wa Yanga maarufu kwa kupiga vigelegele!
4.Mzee wa Utopolo
Shabiki maarufu wa Yanga anajulikana kwa kuvaa rangi za njano na kijani, miwani tatu na kilemba cha njano.
3.Alhabibi Jafari maarufu kama 'Mzee wa Njiwa'
Huyu shabiki maarufu wa Yanga, japo huwa hatajwi sana katika vyombo vya habari lakini huwa hakosekani kabisa katika mechi za Yanga akiwa ameshikilia njiwa mweupe.
2.Mzee Mpili
Huyu ni shabiki maarufu wa Yanga, amejipatia umaarufu na amekuwa akitajwa sana kuhusika katika kamati za wazee wa Yanga.
BONUS
Stivu lialia
Huyu shabiki maarufu wa Yanga aliyejipatia umaarufu miaka ya nyuma kwa kutoa machozi na kulia hadharani hususan pale timu yake inapopata matokeo mabaya.
1. Ally Yanga (R.I.P)
Huyu alikuwa shabiki maarufu wa Yanga aliyejulikana sana mwa kuonekana katika kila mechi ya Yanga akiwa amejipaka masizi,miwani meusi na mavazi ya kufurahisha!
Hapa Ally Yanga akiwa na Kigelegele Yanga
Nyongeza
⚫ Shabiki Kibegi
Kuna shabiki wa Yanga huwa hakosekani uwanjani katika mechi zote za Yanga na huwa anavaa kibegi muda wote (Jina silifahamu) Unaweza kumuona katika picha ya kwanza mwenye jezi nyeusi, na picha ya chini aliyepo kulia kabisa (mtu wa tano kutoka Ally Yanga)
⚫Gody Yanga
⚫Mwalimu Yanga