Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

Frere eduard ya mwamba madilu system(hii ngoma naikubali kuliko rhumba zote duniani)iskize utanielewa why,...lusa ya mwamba oliver ngoma,na maangoma kibao ya oliver ngoma kama adia,bety,..
 
Wewe ni nyoko[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]always enjoy your trip,kama una playslist ya kibaba kama hii
 
Sebene
Caroline maama ahaa Caroline mamah enhee
wa mkubwa Awilo longomba kachukachukachukachu.
Tule monde sepelemee tule monde watu mnakata viuno tu
Caroline mamaeeh Caroline mamaaaah.
Hiyo nyimbo haitasahaulika
Hiyo ni baada ya gate le coin
 
Lavie lavie- lucian Bokilo
Pantalon mariba - Jean Baron
Koudia ndambou - Jean Baron
Malou - Loketo Group
Embargo - loketo Group
Mamie lolo - loketo Group
Grand effets - alan kounkou
Douce Isabelle - Aurlus Mabele
Soukous - lutchiana
Robin Pretty - soukous Stars

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Haaaaaahaaaaaaaa mecheka kwa dharau. Yani the general MADILUUUUU hayupo kwa list? Hii Ni list ya Nini jaman? Are you serious? Yan ngoma Kama..
Vice versa, manuele samuele, DRTC , Ya Jean , pesa position, Leau ? Mweeee mweeeeeeee wacha kuchafua Rhumba bro kwa hiyo list yako
 
Leo navunja mauno hom kama sina akili...

Ngoma za kongo ni balaa..

Shida nikitoka humu ndani! style zote za mayenu nasahau!
 
Etat major ni panga pangu ni suala gumu saana isiwemo kwenye top 10 yangu, losambo na shalai hizi kazi extra musica walitulia saana.. kuna ngoma moja nimeisahau jina nahisi ipo kwenye album yao ya kwanza, kuna kibwagizo cha extraaa, extra musica, extra, extra musica... Bonge la pini.
Yule rapa wao kila mbogo sijui(jina lmenitoka) kwangu ni rapa bora zaidi.

Kuna ngoma kama effrakatta, force de frappe, droit de veto, abracadabra toka kwa mtaalam kofi haziwezi kosa.

Solola bien ya mtaalam werrason,

Gate la coin, coupe bibamba hizo ni bora zaidi kwangu kwa kizazi cha 90+ mpaka 2000 ya mwanzoni.
 
kwenye rumba unamuachaje madilu system? Ngoma za kumwaga
Ya jean
Si je savais ca
Sensa ya papi
Colonization

Kuna pini moja la awilo kitu kinaitwa Carolina hii mpaka sasa inapigwa
 
BOLINGO TOP 10
1. Double double- Nyboma
2. Fred Nelson- Extra Musica
3. Losambo- Extra Musica
4. Dont cry Dube- Pepe Kale
5. Gerant- Pepe kale
6.Moyibi - Pepe Kale
7. Hi ho ha - Wenge Musica
8. Kala yi boeng- Wenge Musica
9. Ultimatum- Koffi& Quartier latin
10. Family kikuta - Defao
 
ZOUK RHUMBA
1. YA JEAN - MADILLU
2. BIYA - MADILLU
3. PAKA NAWE- MBIĹLIA BELL
4. MUCHANA- BONGOMAN
5. LUSA- O.NGOMA
6.BANE - O.NGOMA
7. PREMIER GAOU- MAGIC SYSTEM
8. PHENOMENE-MBILIA BELL
9.ADIA-O.NGOMA
10. BOYAYE - MBILIA BELL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…