Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

..kuna ngoma hii ya Pepe Kale imetulia lakini haikupata umaarufu.

 
Nmeusoma Uzi kwa umakini, ila nmeshindwa kuja na Top 10 maana nyimbo zote ni kali, tungefanya labda TOP 50 ndugu mleta Uzi.......Anyway nmewaletea TOP 10 ya Wapiga Gitaa Bora Wa Muda Wote wa CONGO[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]


1.Diblo Dibala
2.Dally Kimoko
3.Lokassa Ya Mbongo
4.Kimbangu Solo
5.Ngouma Lokito
6.Nene Tchakou
7.Phellipe Ferreira "Saladin"
8.Alain Makaba
9.Roga Roga
10.Sonor Digital
Kimbangu anabalaa huyo 🤠🤠🙌, japo diblo nayeye yumo ila kimbangu apewe heshima yake
 
Muzina ya Tabu Ley ndio wimbo wangu bora toka huko.

Basumuki baboya nzambe batala ye mpamba
Ntango ya bisengo oh oh
Kasi nkombo ya nzambe ezali ya makasi boboto
Ya yahwe ya nkembo, bakolimbisa bango
Muzinaaaa
Muzina di tata, e di mwana, e di mpeve santu
Muzina di tata nzambe oooh, ya muzina.
Mkuu wasalimie wote hapo Kongo madukani
 
Nimepoteza kipenzi changu nchini Tanzania.... Kama kule Arushaaa, sijui

afu kuna Bongweee booongwe ... bongwe ndima ...... Mayaula Mayoni....

Afu kuna kale kawimbo ... Twende Nairobiiii tukamwone baba Moi,..... Nadhani ni Mbilia Bel

Kunan kale kanaimbwa " Walisema mimi ooooh mimi.. mimi. ... Tutakufa bute tutakufa bure... bure oooooh bure bure..

Afu kuna kifaaa. kinaimbwa... Ela Kala boyieng eeeeh oooohh...

Nyingine mtajua wemyewe
Umetisha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....kale kawimbo sijui tutakajuaje sasa, unazeeka vibaya babu
 
Upande wangu kwenye bolingo bana hakuna kinachonivutia kama wale jamaa wapiga solo na rythim wa zamani walikuwa wanajua aisee salute kwao...

-jmpiana-wenge(BCBG)titanic
-werason-sololabien
Awilo-karolina lile solo lakumalizia verse ya mwisho[emoji114]
-extra musica-ndombolo
-awilo-gate or coin
- extra musica-fred Nelson
-extra musica-rogaroga....


Matchatcha-diblo dibala
Lucien bokilo-aziza
Kanda bongo-billi
Bozi boziana-palpitation
Huu wimbo wa Ndombolo ya Solo umenikumbusha mbali sana aisee,kweli siku hazigandi
 
Huu wimbo wa Ndombolo ya Solo umenikumbusha mbali sana aisee,kweli siku hazigandi

Extra musica waliweza naongezea
Aminstie shalai ya 1990 wa hao hao extra.
 
DANSI
1. Djojo ngonda-Wenge BCBG.
2. Nadine-General Defao.
3. Julia-Koffi Olomide.
4. Liberation-Wenge BCBG.
5. Phiri- General Defao.
6. Koukakorobo-Papa Wemba.
7. Pentagone-Wenge BCBG.
8. Rhoda-Soukous Stars.
9. Monie-Kanda Bongo Man.
10. Gigy- Pepe Kalle.

ZA RHUMBA
1. Omba-Wenge BCBG
2. Petit na London- Koffi Olomide
3. Rail on- Papa Wemba
4. Bupe- Empire Bakuba(Papy Tex)
5. Ibetibi- Empire Bakuba(Papy Tex)
6. Mad- Yondo Sister
7. Fatmasa- Mayaula Mayoni
8. Annie- General Defao
9. Ya Samangwana nimesahau jina.
10. Ya Fally Ipupa ipo kwenye album ya Bakanja.
4. Bupe... papy tex amekujaa papy tex amekuja na dar ee mpenzi bupeee...
What a good old memory

6. Mad yondo sister ahaa
 
Nmeusoma Uzi kwa umakini, ila nmeshindwa kuja na Top 10 maana nyimbo zote ni kali, tungefanya labda TOP 50 ndugu mleta Uzi.......Anyway nmewaletea TOP 10 ya Wapiga Gitaa Bora Wa Muda Wote wa CONGO[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]


1.Diblo Dibala
2.Dally Kimoko
3.Lokassa Ya Mbongo
4.Kimbangu Solo
5.Ngouma Lokito
6.Nene Tchakou
7.Phellipe Ferreira "Saladin"
8.Alain Makaba
9.Roga Roga
10.Sonor Digital
Hawa wataalamu wako wapi kwasasa..bado wanapiga vyombo ?
 
Ukitaka kupata ladha ya Hawa jamaa sikiliza pini za Soukous stars maana wengi walikuwa wanapiga solo Kule. Kuna wakati walikuwa wanapiga kolabo humo asee. Ila Diblo alikuwa anapiga solo mpaka gitaa linaongea, saladine alikuwa anapiga Ile long pitched solo halafu huku Kuna kasauti ka rapa kanamchombeza "Saladine ....... Saladine"
Dally Kimoko wimbo ukianza tu kama yumo utasikia "Dallyyyyyyy Kimoko"

Nene Tchakou yeye wakianza kutwanga sebene baada ya verse ndio unasikia "Nene Tchakou Tchakou Tchakou" dah nyieee

Halafu kulikuwa na mtu anaitwa Lofombo na gitaa lake la base Kule Empire Bakuba
Umeeleza vizuri Sana..umenikumbusha mbali kiongozi..
 
Naunga mkono hoja
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa.

Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club au hata kwenye sherehe likiachiwa sebene la Etat Major au Pentagone ya Wenge huwa kunatokea msisimko wa ajabu. Kwangu mimi kusema Bongo flava ni bora kuliko dansi na rhumba ni kichekesho.

Top ten zangu ziko mbili. Ya kwanza ni muziki wa dansi kwa ujumla na ya pili ni rhumba ambayo naweza sema labda ndo slow jams ya kiafrika.

Kumi bora hii hapa:
1. Losambo - EXTRA MUSICA
2. Droit de Veto - KOFFI OLOMIDE
3. Titanic - WENGE MUSICA BCBG
4. Pentagone - WENGE MUSICA BCBG
5. Amnistie Shalai - EXTRA MUSICA
6. Effrakata - KOFFI OLOMIDE
7. Solola Bien - WENGE MUSICA MAISON MERE (WERRASON)
8. Original - FALLY IPUPA
9. Decompte final - SUZUKI
10. Gate le coin - AWILO LONGOMBA

Kumi bora ya rhumba hii hapa;
1. Omba - JB MPIANA
2. Feux de l'amour - JB MPIANA
3. Vita Imana - FERRE GOLA
4. Airways - KOFFI OLOMIDE
5. Attente - FALLY IPUPA
6. Une Minute - FALLY IPUPA
7. Fatmata - SAM MANGWANA
8. Number two - KOFFI OLOMIDE
9. 100 Kilos - FERRE GOLA
10. Blandine - WERRASON

Kama una top ten yako tuambie pia.
Naunga mkono hoja
 
Hapo kwenye Rhumba nakupinga, hizo nyimbo zote haziingii hata kwenye Top Ten kasoro mmoja tuu wa Feux de l'amor.

Kasikilize hii mikwaju ndiyo utajua nachoongea:

1. Wake Up - Papa Wemba ft Koffi Olomide.

2. Ikéa - Koffi Olomide.

3. Nzele - Madilu Systém.

4. Zazou - Ferre Gola.

5. RTC Riva - Madilu Sytem.

6. Feux de l'amor - JB Mpiana.

7. Oye Lisusu - Bana Ok.

8. Layile - Franco & le T.P. O.K. Jazz.

9. Papy Sodolo - 4 Etoiles du Zaire.

10. Blessure de'amour - Madilu System.

Hizo nimekuwekea zile ambazo ni kali lakini watu wengi hawazifahamu.
 
Back
Top Bottom