Ismoo
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,101
- 1,573
Nimesikitika sana sijaiona ngoma kali ya Werrason Blandine [emoji24]Huna mpinzani kwa hii playlist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikitika sana sijaiona ngoma kali ya Werrason Blandine [emoji24]Huna mpinzani kwa hii playlist
Lile gitaa lilipigwa kwa ustadi mno, ila wakongo na magitaa kama wamezaliwa nayoMUCHANA-kanda bongoman hakuna rhuma kali kama lile mkuu
Kimbangu anabalaa huyo 🤠🤠🙌, japo diblo nayeye yumo ila kimbangu apewe heshima yakeNmeusoma Uzi kwa umakini, ila nmeshindwa kuja na Top 10 maana nyimbo zote ni kali, tungefanya labda TOP 50 ndugu mleta Uzi.......Anyway nmewaletea TOP 10 ya Wapiga Gitaa Bora Wa Muda Wote wa CONGO[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
1.Diblo Dibala
2.Dally Kimoko
3.Lokassa Ya Mbongo
4.Kimbangu Solo
5.Ngouma Lokito
6.Nene Tchakou
7.Phellipe Ferreira "Saladin"
8.Alain Makaba
9.Roga Roga
10.Sonor Digital
Mkuu wasalimie wote hapo Kongo madukaniMuzina ya Tabu Ley ndio wimbo wangu bora toka huko.
Basumuki baboya nzambe batala ye mpamba
Ntango ya bisengo oh oh
Kasi nkombo ya nzambe ezali ya makasi boboto
Ya yahwe ya nkembo, bakolimbisa bango
Muzinaaaa
Muzina di tata, e di mwana, e di mpeve santu
Muzina di tata nzambe oooh, ya muzina.
Umetisha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....kale kawimbo sijui tutakajuaje sasa, unazeeka vibaya babuNimepoteza kipenzi changu nchini Tanzania.... Kama kule Arushaaa, sijui
afu kuna Bongweee booongwe ... bongwe ndima ...... Mayaula Mayoni....
Afu kuna kale kawimbo ... Twende Nairobiiii tukamwone baba Moi,..... Nadhani ni Mbilia Bel
Kunan kale kanaimbwa " Walisema mimi ooooh mimi.. mimi. ... Tutakufa bute tutakufa bure... bure oooooh bure bure..
Afu kuna kifaaa. kinaimbwa... Ela Kala boyieng eeeeh oooohh...
Nyingine mtajua wemyewe
Huu wimbo wa Ndombolo ya Solo umenikumbusha mbali sana aisee,kweli siku hazigandiUpande wangu kwenye bolingo bana hakuna kinachonivutia kama wale jamaa wapiga solo na rythim wa zamani walikuwa wanajua aisee salute kwao...
-jmpiana-wenge(BCBG)titanic
-werason-sololabien
Awilo-karolina lile solo lakumalizia verse ya mwisho[emoji114]
-extra musica-ndombolo
-awilo-gate or coin
- extra musica-fred Nelson
-extra musica-rogaroga....
Matchatcha-diblo dibala
Lucien bokilo-aziza
Kanda bongo-billi
Bozi boziana-palpitation
Huu wimbo wa Ndombolo ya Solo umenikumbusha mbali sana aisee,kweli siku hazigandi
4. Bupe... papy tex amekujaa papy tex amekuja na dar ee mpenzi bupeee...DANSI
1. Djojo ngonda-Wenge BCBG.
2. Nadine-General Defao.
3. Julia-Koffi Olomide.
4. Liberation-Wenge BCBG.
5. Phiri- General Defao.
6. Koukakorobo-Papa Wemba.
7. Pentagone-Wenge BCBG.
8. Rhoda-Soukous Stars.
9. Monie-Kanda Bongo Man.
10. Gigy- Pepe Kalle.
ZA RHUMBA
1. Omba-Wenge BCBG
2. Petit na London- Koffi Olomide
3. Rail on- Papa Wemba
4. Bupe- Empire Bakuba(Papy Tex)
5. Ibetibi- Empire Bakuba(Papy Tex)
6. Mad- Yondo Sister
7. Fatmasa- Mayaula Mayoni
8. Annie- General Defao
9. Ya Samangwana nimesahau jina.
10. Ya Fally Ipupa ipo kwenye album ya Bakanja.
Heri ya mwaka mpya kipenziUmetisha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....kale kawimbo sijui tutakajuaje sasa, unazeeka vibaya babu
Na kwako pia babu, bila shaka mwaka umeanza kwa amaniHeri ya mwaka mpya kipenzi
Mimi umenikumbusha Silent Inn ya Mwenge..!!Huu wimbo wa Ndombolo ya Solo umenikumbusha mbali sana aisee,kweli siku hazigandi
Mie Mwanza hotel pale juu kipepeo.......tena upigwe ile saa tisa tisa hivi kuelekea alfajiri😀😀Mimi umenikumbusha Silent Inn ya Mwenge..!!
Hawa wataalamu wako wapi kwasasa..bado wanapiga vyombo ?Nmeusoma Uzi kwa umakini, ila nmeshindwa kuja na Top 10 maana nyimbo zote ni kali, tungefanya labda TOP 50 ndugu mleta Uzi.......Anyway nmewaletea TOP 10 ya Wapiga Gitaa Bora Wa Muda Wote wa CONGO[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
1.Diblo Dibala
2.Dally Kimoko
3.Lokassa Ya Mbongo
4.Kimbangu Solo
5.Ngouma Lokito
6.Nene Tchakou
7.Phellipe Ferreira "Saladin"
8.Alain Makaba
9.Roga Roga
10.Sonor Digital
Umeeleza vizuri Sana..umenikumbusha mbali kiongozi..Ukitaka kupata ladha ya Hawa jamaa sikiliza pini za Soukous stars maana wengi walikuwa wanapiga solo Kule. Kuna wakati walikuwa wanapiga kolabo humo asee. Ila Diblo alikuwa anapiga solo mpaka gitaa linaongea, saladine alikuwa anapiga Ile long pitched solo halafu huku Kuna kasauti ka rapa kanamchombeza "Saladine ....... Saladine"
Dally Kimoko wimbo ukianza tu kama yumo utasikia "Dallyyyyyyy Kimoko"
Nene Tchakou yeye wakianza kutwanga sebene baada ya verse ndio unasikia "Nene Tchakou Tchakou Tchakou" dah nyieee
Halafu kulikuwa na mtu anaitwa Lofombo na gitaa lake la base Kule Empire Bakuba
Naunga mkono hojaNawasalimu kwa jina la Chama pendwa.
Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club au hata kwenye sherehe likiachiwa sebene la Etat Major au Pentagone ya Wenge huwa kunatokea msisimko wa ajabu. Kwangu mimi kusema Bongo flava ni bora kuliko dansi na rhumba ni kichekesho.
Top ten zangu ziko mbili. Ya kwanza ni muziki wa dansi kwa ujumla na ya pili ni rhumba ambayo naweza sema labda ndo slow jams ya kiafrika.
Kumi bora hii hapa:
1. Losambo - EXTRA MUSICA
2. Droit de Veto - KOFFI OLOMIDE
3. Titanic - WENGE MUSICA BCBG
4. Pentagone - WENGE MUSICA BCBG
5. Amnistie Shalai - EXTRA MUSICA
6. Effrakata - KOFFI OLOMIDE
7. Solola Bien - WENGE MUSICA MAISON MERE (WERRASON)
8. Original - FALLY IPUPA
9. Decompte final - SUZUKI
10. Gate le coin - AWILO LONGOMBA
Kumi bora ya rhumba hii hapa;
1. Omba - JB MPIANA
2. Feux de l'amour - JB MPIANA
3. Vita Imana - FERRE GOLA
4. Airways - KOFFI OLOMIDE
5. Attente - FALLY IPUPA
6. Une Minute - FALLY IPUPA
7. Fatmata - SAM MANGWANA
8. Number two - KOFFI OLOMIDE
9. 100 Kilos - FERRE GOLA
10. Blandine - WERRASON
Kama una top ten yako tuambie pia.
Manuelle Samuele... vice versa ........ colonisation...NzeleNimetafuta nione mtu aliyefaja haya mapini ila sijaona.
- Rtc Riva
- Si je savais ca
- Ya Jean