screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Hiyo namba ya simu ni ya msingi kuliko udwanzi ulioandika
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo Pesa anazowapeni mje Kumpamba humu ' Mitandaoni ' kwa ' Kumkapenia ' ili muwarahisishie Kazi ' Wajumbe ' zitawatokeeni Puani mapema.
HIVI NI KWA NINI UNAHOFU KWAMBA BASHITE ATAKATWA? MBONA HUJAONYESHA HOFU YA KUKATWA WAGOMBEA WENGINE?
Unamharibia kijana wetu. Itachukuliwa km unampigia kampeni kabla ya kipyenga kupulizwa, na wengine wanaweza kudhani kuwa amekutuma, na hivyo umemtia doa. Kila kitu kwa wakati wake, CCM ya sasa ni makini sana.
Hayo ni mawazo yako ukiona shida saana mpe ubunge kwako kisha umpe uwaziri kwa familia yako.
CCM ina utaratibu na sio watu kuwaza vyeo tu, hayo mawazo yako ndo yalihalibu chama huko nyuma.
Kama atachaguliwa si lazima awe waziri, kwa kuwa hata huo ubunge anaweza kutumikia watu na kuwapa maendelei bila kuwa waziri.
M akala hii inazidi kumweka pabaya ...wanaweza wakamkata kweli...
Haya ndiyo madhara tunayojitakia.Mtu kaonyesha tabia zake dhahiri shahiri bado tunamchekea.Hitler na wengineo walikuwa/walianza hivyo!
Uwezo upi? Ule wa kukatisha uhai wa Watu kama walivyodai Wamarekani?.
Uwezo ni pamoja na kutii msimamo wa Boss wako.
Hofu Makonda kukatwa inatoka wapi?
Tutaona na
Tutaona na kusikia Fasihi nyingi tata kama hii,walioilewa fasihi hii kutoka kwa Taikon wanaweza kufafanua.Nimesoma bila kuelewa kuwa wewe ndiye Makonda,unamfanyia kampeni ya kumsifia na kumponda kwa wakati moja?
Mbona unampigia kampeni mahali pasipo sahihi?
Una matatizo makubwa .
Unaandika utafikiri hilo jimbo halina mwenyewe.
Dr Ndugulile yupo.
Makonda arudi kuomba Ukuu wa Mkoa amekuwa akiteuliwa siku zote.
Tunataka ateuliwe Balozi wetu Marekani.
Yote ni kweli kwa yale tunayoyaona lakini upande mwingine tusioujua hasa hili la kuwekewa vikwazo na Taifa kubwa kama Marekani na ambalo hajatoka hadhani kulitolea maelezo.Kwangu mimi naamini Makonda hawezi kufutika kwenye siasa kirahisi as long as JPM yupo madarakani lakini kwa ubunge nahisi hafai kutokana na arrogance.
Muda wa kupiga kampeni haujafika
CCM wameweka masharti ya watia nia moja wapo ni rushwa swali fikirishi je kama amekiuka masharti asikatwa ?
Uwezo gani unao zungumzia?
Hee Makonda naye ni mzaramo? Mi nikajua ni msukuma wa kolomije!!!Msumeno huwa hauangalii Sura. Kama anafaa atapita kama hafai atakatwa