Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

20m kwa show mbona fedha ndogo sana? wanagawanaje hiyo pesa? Mameneja 6 , Diomondi ,WCB ,Dancers,Chuchu mwenyewe!!
 
Duuh noma sana upige shoo ya mil 20 uishie kupewa laki nane!!?
bora ukalime viazi tu noma sana
hiyo ni exploitation ya hali ya juu....!!
ndio maana jamaa alisepa
 
Kama watu wanafanya biashara zao na wewe umakaa tu kukasirika huku jamiiforums kisa tu Ruby anaimba vizuri kuliko Zuchu mimi nakuonea huruma sana. Naona unajipa tabu tu kwa mambo yasiyokuhusu. Mimi mwenzako nimeanza likizo Ijumaa, basi tangu nilivyotoka ofisini mpaka sasa namimina tu. Mama Gaude kanuna kavimba mpaka kapasuka mi sina habari nakula bia tu
 
Duuh noma sana upige shoo ya mil 20 uishie kupewa laki nane!!?
bora ukalime viazi tu noma sana
hiyo ni exploitation ya hali ya juu....!!
ndio maana jamaa alisepa
Na hapo social media accounts zote Kama YouTube inakuwa ya Wasafi.

Yaani YouTube account ya Rayvany na vilivyomo ndani Ni vya WCB sio Rayvany. Hela zote zinazoingia YouTube zinaenda WCB headquarters ndio upewe wewe kilichobaki.


Rich mavoko baada ya kutoka WCB mpaka account yake ya YouTube imebaki WCB alianza upya YouTube na account mpya from zero na nyimbo zote alizotoa chini ya Wasafi zimebaki huko hapaswi kula pesa Tena na jasho yake.

Usione harmonize alivyojitoa ukadhani Ni masihala. Na ile gharama ya milion 500 aliyoambiwa atoe ilikuwa Ni ili aondoke na nyimbo zake pamoja na account Yake ya YouTube.


Sasa ukiona vitoto vinavyojishaua humu Jamii forum kuhusu WCB unabaki kucheka tu havijui lolote.
 
- Hata kama hiyo ndio thamani halisi ya zuchu kwa muda alioko kwenye game hakutakiwa kuwa rated katika thamani hiyo.

- Alitakiwa apewe nafasi ya kukua at reasonable steps.

- Swali ni kwamba "will she be able to live up to that price?"

- Wamempa dogo kazi ngumu ya kumantain hiyo thamani akati ata uzoefu bado hajaupata, maana akishuka thamani tu ndio mwanzo wa kuanza kukua kuelekea chini.
 
Bora nikaangalie karioke ya Ruby kuliko back play ya zuchu sipendi zile kauli za wasanii tunaimba wote pumbuv uimbe na nani kakwambia nani najua kuimba vp tutagawana hela msaani nifanye,nionesha nimekupunja kiingilio

Ruby funga kazi
 
Lini atakuwa?..
unajua kuwa msanii wa ulaya akitoa nyimbo 1TU.
AMEKUWA TAJIRI.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
nyie endeleeni kupiga kelele.
Muda si mrefu zuchu atamiliki nyumba yake.
wale mnaoamini kipaji tu cha mtu ndo kitampa maendeleo ENDELEENI KUJIDANGANYA..


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Sean Kingston..
Mnataka mtu aimbe mpaka azeeke ndo aje kuwa na maisha mazuri?.
haya mambo wcb wameyakataa.
Mziki ni pesa sio KUSIFIWA TU UNAINBA VIZURI ALAFU MFUKONI HAUNA KITU.
Kwa mfano msanii gani ambaye amekuwa tajiri kwa hiyo nyimbo moja?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…