secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Ni sawa na kununua IST kwa bei ya range ni kichaa tu anaweza fanya hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakaa wapi nije nikuelezee kwa undani huyo zuchu ni nani na nyimbo zake mbovu.Zuchu ni nani kwani maana mimi mgeni sana huku mtaani kwetu😂😂😂😂
Bint mchonganishi sana wewe, hizo kauli zako za 'eti eti' unanikumbusha habari za shetani pale bustanini Eden😀😀
20m kwa show mbona fedha ndogo sana? wanagawanaje hiyo pesa? Mameneja 6 , Diomondi ,WCB ,Dancers,Chuchu mwenyewe!!Wasalaam!
Wana jamvi habari njema ni kwamba sanaa yetu imezidi kuchanja mbunga na kwa sasa muziki unalipa sana tena sana pamoja na kuwepo kwa madalali qengi!
Zuchu ni msanii mpya ndani ya WCB lakini ukuwaji wake umekuwa wa kasi sana ukilinganisha na wasanii wenzie wakina Lava Lava na Queen Doreen ambao kwangu mimi naona wamekuwa kama wafanyakazi hewa!
Hivi karibuni baada ya kufanya show yake kubwa pale Mlimanicity meneja wake Salam ametangaza bei ambayo atakuwa anatozwa mtu au kampuni au watu wanao mtaka Zuchu a.k. Chuchu kwenye show kiasi cha Tsh Million 20 za kitanzania!
Hivyo ni kwa sasa ukimtaka Zuchu itakubidi utoe Million 20!
Lakini sisi tunashauri Zuchu aendelee kuboresha ubora wa show zake ili azidi kuwakonga mashabiki wasione wanaibiwa hela zao!uView attachment 1524100
Duuh noma sana upige shoo ya mil 20 uishie kupewa laki nane!!?Kwenye hiyo milion 20 Mgawanyo uko hivi
1. WCB Management ina mgao wake
2. Manager Wake ana mgao wake
3. Aliemuungia WCB ana mgao wake kwa kila show ( Kama ilivyo kwa Rayvany Kuna mgao wa Babu tale ndio alimuungia wcb kutokea tiptop connection.... Au kwa Mboso Kuna mgao wa Said fella maana ndio alimuungia WCB kutokea Yamoto Band)... Kwasasa sijajua Nani alimuungia zuchu WCB )
4. Kuna gharama za show ( Mavazi, usafiri , chakula na gharama za team nzima , hotel n.k)
6. Bado hujaweka gharama zingine Kama income tax ya serikali n.k
KINACHOBAKI NDIO ANAPEWA MSANII. HAPO wcb rich mavoko amewahi kupewa laki 8 baada ya kupiga show Mombasa.
Sasa Nyie mlioko Manzese au mikoani huko kazi kusifia hamjui lolote tunawaangalia tunaishia kusema iiiiiiiiiiiiiii Bhagooooosha
Na hapo social media accounts zote Kama YouTube inakuwa ya Wasafi.Duuh noma sana upige shoo ya mil 20 uishie kupewa laki nane!!?
bora ukalime viazi tu noma sana
hiyo ni exploitation ya hali ya juu....!!
ndio maana jamaa alisepa
- Hata kama hiyo ndio thamani halisi ya zuchu kwa muda alioko kwenye game hakutakiwa kuwa rated katika thamani hiyo.WCB kila siku watabaki kuwa juu sababu wanajua KUJIBRAND..
Angalia wasanii wa makundi mengine waliotoka kipindi kimoja na zuchu wana Hali gani?.
zuchu kafanya shoo kiingilio kidogo ni elfu 50.
walijiandaa
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hata Mimi bongofleva sio mpenzinkbs lakini kwanyule dogo akaze buti na abadili style ya uiambaji ...au sielew Mimi....Hahahaha, dah kumbe wengine tu hatumjui ,na hivi mm na muziki tofauti
Nina mkataba wao mmoja hiyo bei ambayo walitaka ili waje Lubumbashi ,mmmmh
Bora nikaangalie karioke ya Ruby kuliko back play ya zuchu sipendi zile kauli za wasanii tunaimba wote pumbuv uimbe na nani kakwambia nani najua kuimba vp tutagawana hela msaani nifanye,nionesha nimekupunja kiingilio
- Hata kama hiyo ndio thamani halisi ya zuchu kwa muda alioko kwenye game hakutakiwa kuwa rated katika thamani hiyo.
- Alitakiwa apewe nafasi ya kukua at reasonable steps.
- Swali ni kwamba "will she be able to live up to that price?"
- Wamempa dogo kazi ngumu ya kumantain hiyo thamani akati ata uzoefu bado hajaupata, maana akishuka thamani tu ndio mwanzo wa kuanza kukua kuelekea chini.
Atashusha siku zinavyokwenda
Kwa mfano msanii gani ambaye amekuwa tajiri kwa hiyo nyimbo moja?Lini atakuwa?..
unajua kuwa msanii wa ulaya akitoa nyimbo 1TU.
AMEKUWA TAJIRI.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kwa mfano msanii gani ambaye amekuwa tajiri kwa hiyo nyimbo moja?
Kumbe Sean Kingston ni msanii wa Ulaya? Huko ulaya ni nchi gani?Sean Kingston..
Mnataka mtu aimbe mpaka azeeke ndo aje kuwa na maisha mazuri?.
haya mambo wcb wameyakataa.
Mziki ni pesa sio KUSIFIWA TU UNAINBA VIZURI ALAFU MFUKONI HAUNA KITU.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app