Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Kwani hizo EPA na ESCROW umezisikia kwenye hii CAG report 20/21? Usitake kupoteza hoja kwa vihoja.....!!!!CAG huyu kaja na ukaguzi wa miaka mitano yote, Je Hilo la Tr1.5 umeliskia Kwenye hii ripoti??
Umeteseka kifala kweli Bundi weweUjinga tu na ufupi wa akili ndio unaona hivyo
Kuna mikoa ambayo haina viwanja vya kiwango kile,, kuna wilaya nyingi kongwe (acha kijiji cha chato) hazina uwanja hata wa nyasi, , halafu leo unaenda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwako kwa kulazimishia tu eti iwe kawaida?Uwanja wa Ndege wa chato, kama unajina la Magufuli, au mmiliki wake ni Magufuli huo ndi ufisadi haswaa
Yeye kajenga Kwa ajili ya nchi, hawautaki, waanzishe machimbo ya zege, maana zege lililolala hapo si mchezo
Wasingejaa iko Lugha ambayo ungeitumia kusema kuhusu msiba huo!! Maana wabongo bhana Ni shida!
Halafu Watanzania walio wengi hawapo huko Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa!Ukiingia kule Twitter wamejazana kwa Msemaji wao Kigogo wanadanganyana tu. Instagram kule huwaambii kitu kuhusu JPM,Hamis Kigwangalah kauona moto wake. Pale kwa Millard Ayo chochote kinachomuhusu JPM kikipostiwa ndiyo utajua watu walikuwa wanampenda kiasi gani.
Chato ya Magufuli haina tofauti na Gbadolite ya Dikteta Mobutu Seseseko Kuku wa Nzabanga pale Zairwa....kenge mumaji.!!!Kuna mikoa ambayo haina viwanja vya kiwango kile,, kuna wilaya nyingi kongwe (acha kijiji cha chato) hazina uwanja hata wa nyasi, , halafu leo unaenda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwako kwa kulazimishia tu eti iwe kawaida?
Huo ni ufisadi.
Ufisadi maana yake uchafu(tafsiri ya kwenye Bible)
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
kumbe unaelewa hataa biblia iliandika mema na mabaya nasi tutasema mema na mbaya lengo letu ni kujifunza siyo mnatak a asifiwe tutasema siyo kuopa eti kura ujngaa ganiNianze moja kwa moja kutoa maoni yangu kwa hali ya kisiasa nayoiona. Kifo cha Rais Magufuli imeacha pengo kubwa sana kwenye taifa. Kwa wale wasiopenda kusikia jina la magufuli niseme tu, Hayati alikuwa na wafuasi wengi kifo chake kimedhirisha hivyo na atakumbukwa siku zote kwa mambo mazuri aliyolifanyia taifa hili.
Niseme tu wazi si kila jambo alilolifanya hayati ni baya kwenye taifa hili. Ameacha alama kubwa sana. Licha ya kuwa na matatizo ya moyo alijitolea usiku na mchana kulipigania taifa lake.
Najua akili ni nywere na kila mtu ana zake. Watu wanaodai magufuli alikuwa fisadi unashindwa kuelewa jinsi walivyo na kumbukumbu ndogo ya aina ya ufisadi tuliyopitia kwenye taifa hili kabla ya magufuli kuingia madarakani. Kumbukeni ufisadi wa TEGETA ESCROW, EPA, BOMBA LA GAS MTWARA. Sote tunajua viongozi wa Afrika wakiiba pesa wanapeleka wapi. Wanakimbiza nchi za maghariba..kama Hayati aliiba hayo mabillioni yako wapi? Matrillion yako wapi?
Ameanzisha ujenzi wa reli kwa gharama ndogo sana uki compare na majirani zetu tena ya kutumia umeme.
Magufuli anatoka kanda yenye nguvu kiasiasa. Ukweli ni kwamba magufuli ameumiza sana watu wa kanda hiyo na taifa kwa jumla. Kitendo cha kuendelea kumshambulia kwa tuhuma ambazo watu wenye akili za kawaida kabisa wanajua zina malengo ya kisiasa nikutengeneza magawanyiko mkubwa huko mbeleni.
Kuna kitu magufuli kaacha kwenye mioyo ya watanzania. Nacho ni uzalendo. Wamejua kuhusu ukoloni mamboleo na jinsi baadhi ya viongozi wanavyotumika na nchi za magharibu kuhujumu mataifa yao either kwa ufisadi, mikataba mibovu etc.
Nimalizie kwa kusema, magufuli hakuwa malaika. Binafsi kuna mambo kadhaa niliyapinga kwenye utawala wake lakini niseme ni kiongozi mzalendo hili taifa kuwahi kupata.
Kama mnataka tuamini huo ufisadi mtueleze MAGUFULI KAFICHA HELA WAPI? Alizibeba kwenye sandarusi? Ana account ya pesa ulaya? MUNGU ATAMLIPA KIUMBE WAKE. KAKIKA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.
Mwisho kabisa kabla haujaendelea na mkakati ovu wa kumshambulia magufuli labda ujiulize. MAUAJI YA ALBINO YAKO WAPI? UFISADI MKUBWA UKO WAPI? UJAMBAZI UKO WAPI? KUKATIKA UMEME JE? AU TUMESAHAU JINSI MAJENERETA YALIVYOKUWA YANATUUMIZA MASIKIO?
Hakika MUNGU ATAMLIPA JPM kwa kutetea wanyonge na watu wasiokuwa na nguvu. Miaka 100 ijayo utakuwepo? Basi jifunze na beba mema ya hayati JPM mabaya muachie Mungu wake atamuhukumu.
Daudi alimwaga damu lakini Mungu alimkumbuka.
Nendeni chato mkaendelee kuomboleza huku unafanya nin?Wajinga tu ndo wanamchukia magufuli. Watu mpaka sasa hivi tunalia. Haya maumivu ni zaidi ya maumivu
Mwambie anadhani hatujui ukweli wa huko kanda ya ziwa.Wa kutosha alizidiwa mpaka akalipa watu wa kurusha mawe.
Wasio mafisadi ndio mfanye haya maendeleo Kwa Kasi kubwa ili kudhihilisha ufisadi wa JPM, jengeni viwanja Vya Ndege kila Kona ili hoja yenu ya kumwita fisadi iwe Sawa!! La hamuwezi, basi mwacheni apumzikeKuna mikoa ambayo haina viwanja vya kiwango kile,, kuna wilaya nyingi kongwe (acha kijiji cha chato) hazina uwanja hata wa nyasi, , halafu leo unaenda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwako kwa kulazimishia tu eti iwe kawaida?
Huo ni ufisadi.
Ufisadi maana yake uchafu(tafsiri ya kwenye Bible)
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wanaomtetea ni waovu kama yeye, uovu wa wazi kabisa unaonekana halafu mtu eti anamtetea.Hivi ile hela aliyokuwa akibeba mailioni kwenye Sandarusi halafu anagawa kama njugu mawe zilikuwa zinakuwa accounted kivp?? No cheque no any official transaction no nothing....!!! Halafu utasikia jiwe anasema....UKINUNUA DAI RISTI NA UKIUZA TOA RISTI......Lakini yeye akichukua au kutoa pesa ilikuwa hakuna cha receipt wala kumbukumbu yoyote....!! Je, ni fedha kiasi gani ya walipa kodi maskini imepotea kwa mtindo huo?
Hivi huwajui Watz a.k.a Wabongo??? Ule ulikuwa ni unafiki wa hali ya juu sana kuwahi kushuhudiwa hapa duniani!!!Halafu Watanzania walio wengi hawapo huko Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa!
Kila nikikumbuka msafara wa jeneza la marehemu kuongozwa na bodaboda....au ile boat parade ziwa Victoria....machozi yananilenga!
Alipo gombea kikwete mbona alipata wabunge?CCM kanda ya ziwa ni Magufuli. Kama hayupo jibu mnalo
Poa tu ila ukweli tunawapeni kuwa sasa hivi rais wa JMT ni mama Samia hakuna tena mwingine.Halafu wewe ni mcongo
Brother, to me that is the highest degree of HYPOCRACY...!!!Wanaomtetea ni waovu kama yeye, uovu wa wazi kabisa unaonekana halafu mtu eti anamtetea.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sjajua huyu Magufuli alikuwa akitoa wapi Hizi pesa, maana zamani tuliaminishwa kwamba, pesa ni Hadi tupige magoti Kwa wazungu, ndio tufanye maendeleo,Chato ya Magufuli haina tofauti na Gbadolite ya Dikteta Mobutu Seseseko Kuku wa Nzabanga pale Zairwa....kenge mumaji.!!!
Tulieni sasa tujenge nchi wacheni uchochezi wenuWasingejaa iko Lugha ambayo ungeitumia kusema kuhusu msiba huo!! Maana wabongo bhana Ni shida!