Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Yaani ajikamate mwenyewe! Jiwe ndo fisadi papa sasa afanyeje tena?
 
Kuna hasara gani kusafisha hii hali chafu ya hewa kuliko kupiga kelele humu ndani?? kwa nn hili jambo limechukua sura ya kisiasa wakati ukaguzi umefanyika na wataalamu?? kwa nn wataalamu wasijitokeze na kuja na fact??
 
Kama hamuwezi kurudisha hizo hela 1.5 tri!!!basi tuonyesheni nyaraka za matumizi yake.
 
Mahakama inaingilia bunge?
Tatizo nyie ni product ya shule za kata mnachukua muda kuelewa.
Acha ujinga. Ufisadi is a criminal offence..swali langu ni kwamba ufisadi wake ulikoma au ulitoweka baada ya kujiuzulu? Kwmaba kujiuzulu kunafuta kosa la jinai? Kwa kuwa uelewa wako ni mdogo ni hivi: waziri mkuu jingalao, akiua halafu akajiuzulu uwaziri mkuumambo yanaisha?
 
Unawashwa washwa na nini wewe..

Naona nondo zake zimekumaliza pwaaaaa

Nimenotisi upo bizi sana kunitagi.. shoo huna mke.. njoo nikutafutie..
Hawa jamaa wanaishi dunia ya loosers...watakufa na heart attacks...mara waje na ukabila,mara nyaraka za maaskofu,mara vyeti vya makonda...kiki zote za msimu zinaisha.
 
Uchunguzi ulifanyika na fisadi akaonekana na adhabu akaipata
 
Hawa jamaa wanaishi dunia ya loosers...watakufa na heart attacks...mara waje na ukabila,mara nyaraka za maaskofu,mara vyeti vya makonda...kiki zote za msimu zinaisha.
Kumbe uvccm bado mpo?? Sasa mnamtetea mkwapuzi dooh, shame on your face.
Mlitamani pia CAG awe kada wa ccm km ilivo NEC, TISS, POLICE, BUNGE na makorokochoni kote eeeh.
 
Pole, CAG amekuwa kibaraka, mhuni na fisadi very funny
 
Mku sisi ccm ndio walalamikiwa kwa hiyo muhusika anatakiwa aje na majibu ambayo raia wanayasubiria kuendelea kuyaatamia ni maradhi yasiyo na ufumbuzi
Kidogo ww fahamu zimeanza kukurudia
 
Mwenzao Mzee Mwanakijiji amepigwa ganzi baada ya ripoti ya CAG kutoka. Haandiki chochote wala ha-comment chochote. Kafulila na Polepole wanapuyanga nyikani, haieleweki wanatetea nini! So sad.


Kinyume na wengine, sichangii kwa sababu watu wengine wanafikiria napaswa kuchangia. Hakuna lolote lililoko kwenye ripoti ya CAG ambalo ni jipya na la kushtua... tatizo langu mimi katika mjadala mzima huu ni moja tu.
 
mafisadi wapi hao unaowapa huu ujumbe kama singasinga na regemarila wapi ndani sijui wakina nani wengine hao......au CAG nae ni fisadi
 
Hivi Jingalao nikuulize kaswali kadogo tu, wenzio waliopigwa ganzi wameanza kupata fahamu wanarejea kundini nafikiri unawafahamu hivi wewe utapona lini au jina linaumba tabia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…