Freddienda
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 269
- 270
Yaani ajikamate mwenyewe! Jiwe ndo fisadi papa sasa afanyeje tena?
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.
Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.
By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.
Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.