Kumtambua Rais Samia kama Mama wa Taifa ni kujenga familia (nchi) imara

Hivi huu upuuzi uliishia wapi?
Jee na yule askofu wetu aliyekuja na wazo hilo hadharani anajisikiaje mtumishi kuona maono yake yamepuuzika kwa kiwango hiki?
Watu wanatoaga mawazo kama hayo huwa hawanaga aibu hata kidogo.

Reference.; Ndugai,Ally Kesy pale mjengoni kutaka kumlazimisha Jiwe aongezewe muda wa kutawala.
 
NJAA NAONA IMEKUPANDA KICHWANI
 
CCM imechoka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OOOOO kUMBE ,Mbona Magufuli hamkutambua kama Baba ya Taifa ikimtoa Nyerere mwenye nafasi yake kwa taifa hili
 
Chawa mna kazi kubwa sana
Wanakazi kweli kweli! Wanakoelekea watataanza kumuita mungu!
Maana kama sifa wamempa sana, wengine hata mama zao hawajawahi kuwasifia lakini mama wa wenzoa hawalali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…