Kumtetea Mbowe ni vigumu. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi

Washauri wenyewe akina Erythrocyte na Retired unategemea nini
 
Toka lini makamu akawa na nguvu kuliko mwenyekiti? muda umefika sasa kuwa mwenyekiti ili mipango yake ikafanye kazi kwenye chama, wakati wa Lissu ni sasa
TLS kule Kuna kitu alifanya au kubuni!
 
Ikungi Hadi Leo hakuna maji safi na salama,hakuna Barabara!
Alikuwa mbunge kule!
 
Kule wapi? Lissu yupo Chadema sasa ni wakati wa kuwa top leader ili mawazo yake yakafanye chama kurudi kwenye makali yake , sasa hivi Chadema imekuwa ziiiiiiiii
Aliwahi kuwa Rais wa TLS,aliweza kufanya nini Cha maana kuisaidia TLS?
 
Lisu kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa,ni SAWA na kukiua chama.
 
Sasa yeye ndio mwenye serikali ? yeye kazi yake ni kusemea wapiga kura wake ila wenye fedha ni serikali sio Lissu, amesha sema sana kama serikali haitaki kuleta maji unataka Lissu afanyaje? acha kutoa lawama za serikali kwa Lissu
Lissu hajielewi tangu apigwe risasi!
Muhimu apambane na Tigo!
Kwenye chama anakosa bara na Pwani!
 
Alifanya mengi ikiwemo kuzuia serikali kuifanya TLS kuwa chombo chao cha kuficha maovu yao
Serikali unayoisemea juzi imewapa TLS gari la dhamani ya +300 million.
Lissu alizalisha migogoro tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…