Inahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu.
Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna watu wako wa karibu wanakuchafua" na maneno kama hayo. Hapa nia ni kumuondoa Rais na lawama za kile ambacho watu hawapendezwi nacho bila kumuwajibisha. Hiki hakina tofauti na alichokifanya Gwajima.
Kusema kuna kakikundi kanakojitegemea kanakofanya utekaji halafu unasema hakihusiani na vyombo husika ni njia ya kuwatakasa wahusika na kuwaondoa katika lawama ya kile kinachoendelea.
Niliwahi kusema CCM walichoamua kufanya muda mrefu uliopita ili kusalia madarakani ni kuhakikisha wapo kila upande wa shilingi katika mada yoyote, nyanja yoyote na sekta yoyote. Watakuwa CCM lakini pia watakuwa vyama vya upinzani. Watakuwa Yanga lakini pia watakuwa Simba. Watammiliki Diamond lakini pia watammiliki Alikiba. Wataongoza serikali lakini pia wataongoza vyama vya wafanyakazi. Wanahakikisha wanaopingana ni watu wao wenyewe. Hata pale yanapoonekana mabishano na ushindani ni mkali, hii inakuwa rahisi ku "control outcome". Kama suala linaenda "out of control", wanatumia watu hao hao kulimaliza na chama kinabaki salama.
Hiki ndicho kinachotokea kwa Gwajima.
Watu wasiojulikana wametakaswa na wataendelea kutojulikana. Kazi yao inataka wasijulikane, kuna nini cha ajabu?
Mzee umemaliza. Kitabu che The prince cha Machievelli kimeandika kuhusu mbinu ya kuendelea kushikilia utawala. kwa njia hizi hizi CCM na tawala mbalimbali inazitumia. Imagine kitabu kimeandikwa 1513 na mpaka leo kinafanya kazi. Hakuna jipya kwenye hii dunia. Nimegundua wanaharakati wengi wajinga sana,nimeshuhudia kukiwa na jambo hili linalowaunganisha watanzania anatafutwa mwanaharakati mmoja mwenye mdomo mdomo, anapewa a controversial tweet ya kuwagawa watu bila yeye kujua kua ile tweet itawagawa watu.Kuishinda CCM na kubadili mfumo wa kisiasa wa Tanzania inabidi kubadili "rules of engagement" za mapambano ya kisiasa. Nitatumia maneno hayo machache kwa sasa. Lissu ndiye pekee amelijua hilo ila wanaomzunguka na Watanzania wengi hawapo tayari kumuunga mkono 100% maana inajumuisha kubadili "entire mindset" ya mtanzania wa kawaida. Sihesabu uungwaji mkono wa mitandaoni.
Conventional methods hazitafanikiwa kamwe maana CCM wamejizatiti kukabiliana na hizo njia na ndiyo maana wanaweza kufanya mambo mengi ya hovyo ambayo katika hali ya kawaida usingeweza kudhani yanaweza kufanyika karne hii.
CCM wana too many tools in the toolbox kukabiliana na conventional methods za kila aina. Inabidi kukabiliana nao katika angle ambayo hawajaizoea au kuitegemea.
Si kweli mantiki ya kila unachokiandika kinasadifu the opposite ya hiki ulichokiandika hapa.Sijui kwa nini mnadhani nampinga Gwajima kwa sababu ya makandokando yake. Mimi hata sipo huko. Hata angekuja Charles Kimei akasema alichosema Gwajima, ningekuja kupinga hivi hivi na kwa sababu hizi hizi.
Soma hapo☝🏻 juu..Ngoja niwaambie distruption inayotakiwa. Si Gwajima amesema watendaji wa serikali na wateule wanajua kila kitu ila wanaogopa kutumbuliwa (ingawa serikalini hawatumbuani ila wanahamishana vituo vya kazi)?
Wewe kumbe ni mtoto kabisa...Fanyeni hivi.....watengeni hao watendaji na wateule ambao wanahusika moja kwa moja na matukio au kushindwa kuyazuia kama wajibu wao wa kazi unavyotaka. Waondoeni heshima yote. Msihusike nao katika masuala ya kijamii. Zitengeni familia zao. Unfollow them kwenye mitandao ya kijamii. Hizo ni fujo zisizoumiza ila ni effective. Kuna meengi sana yanaweza kufanyika. Watendaji na hao wateule wakiona heshima yao imeondoka, familia zao zimetengwa hawatakubali kuendelea kuwa rubbing stamp ya udhalimu na hii pressure itamfikia bosi wao.
Hii strategy ya Tundu Lissu na Josephat Gwajima inatumia mambo makubwa kwani kupambana na watu hawa..?Mnadhani mnahitaji kufanya mambo makuuuubwa ili kuwaondoa comfortability ila mbinu nyingi zipo mikononi mwenu.
..hicho ulichopendekeza ni ZIADA katika yale ambayo wenzako wanayafanya. Ni jambo zuri.
..sasa usiwavunje moyo wenzako, kwani ukifanya hivyo na wenyewe watapata uzito kuunga mkono wazo lako.
..mimi nimekuelewa. Wazo lako ni zuri. Mawazo ya Gwajima ni mazuri. Mawazo ya Chadema na wengine nayo ni mazuri.
Hii inaweza kuwa just a setup to a joke. Wenzenu wanaplay a long game na hawajadumu muda mrefu hivi bila kujua wanafanya nini.Gwajima kashafanya disruption yake, anavyojua yeye, kwa njia yake.
Kama unaona haitoshi au haifai, fanya yako wewe nawe unavyotaka tuone.
Hawa CCM wasio na haya ndiyo unafikiri utawabadikisha kwa kuwatenga kijamii? Wakati wao ndio wana power?
Mkuu,Hii inaweza kuwa just a setup to a joke. Wenzenu wanaplay a long game na hawajadumu muda mrefu hivi bila kujua wanafanya nini.
Wanaweza kuwapa matumaini ya muda mfupi wakijua wanachofanya kina faida za muda mrefu kwa chama chao. Wamefanya hivi hivi mara nyingi sana, inashangaza hatujifunzi.
Kwa lugha nyingine, bila kuangalia kwa kina, utashindwa kujua alichofanya Gwajima kina uwezekano wa kuwa na faida ya muda mrefu kuliko madhara ya muda mfupi kwa CCM.
All in all, naombea utekaji ukome, wahusika wawajibishwe na tujenge taifa la kistaarabu lenye kufuata misingi na sheria na utawala bora. Mambo mengi ya kishamba yanayoendelea nchi hii siyaafiki.
Hii inaweza kuwa just a setup to a joke. Wenzenu wanaplay a long game na hawajadumu muda mrefu hivi bila kujua wanafanya nini.
Wanaweza kuwapa matumaini ya muda mfupi wakijua wanachofanya kina faida za muda mrefu kwa chama chao. Wamefanya hivi hivi mara nyingi sana, inashangaza hatujifunzi.
Kwa lugha nyingine, bila kuangalia kwa kina, utashindwa kujua alichofanya Gwajima kina uwezekano wa kuwa na faida ya muda mrefu kuliko madhara ya muda mfupi kwa CCM.
All in all, naombea utekaji ukome, wahusika wawajibishwe na tujenge taifa la kistaarabu lenye kufuata misingi na sheria na utawala bora. Mambo mengi ya kishamba yanayoendelea nchi hii siyaafiki.
Setup to a joke maana haujui kesho Gwajima ataamka na lipi ili kutupa punchline. Upe muda nafasi, tutarudi hapa.Mkuu,
What is a set up to a joke?
Nchi inazizima unasema this is a set up to a joke?
And if it indeed a setup to a joke, wewe unafanya nini kilicho serious?
It's divide and conquerMzee umemaliza. Kitabu che The prince cha Machievelli kimeandika kuhusu mbinu ya kuendelea kushikilia utawala. kwa njia hizi hizi CCM na tawala mbalimbali inazitumia. Imagine kitabu kimeandikwa 1513 na mpaka leo kinafanya kazi. Hakuna jipya kwenye hii dunia. Nimegundua wanaharakati wengi wajinga sana,nimeshuhudia kukiwa na jambo hili linalowaunganisha watanzania anatafutwa mwanaharakati mmoja mwenye mdomo mdomo, anapewa a controversial tweet ya kuwagawa watu bila yeye kujua kua ile tweet itawagawa watu.
They are absolutely out of their comfort zone. Don't you see it..?You need distruptors. You need to get CCM out of its comfort zone. Do it and do it persistently and CCM will fall down.
No true again..Maelezo ya Gwajima yanaendelea kuiweka CCM katika comfort zone maana amewasafisha watu ambao umma ungeweza kushinikiza wawajibishwe.
Mimi nilimwelewa Askofu Gwajima vizuri..Ni excuse nzuri ambayo inaendelea kuwalinda wasiojulikana na wakati huo huo mkamuona amefanya kitu.
Kwa nini una focus kwa mtu Gwajima wakati kuna hoja ya kupinga utekaji ambayo ni kubwa kuliko Gwajima?Setup to a joke maana haujui kesho Gwajima ataamka na lipi ili kutupa punchline. Upe muda nafasi, tutarudi hapa.
I hope I'm wrong, I really do!
They are absolutely out of their comfort zone. Don't you see itYou need distruptors. You need to get CCM out of its comfort zone. Do it and do it persistently and CCM will fall down.
No true again..Maelezo ya Gwajima yanaendelea kuiweka CCM katika comfort zone maana amewasafisha watu ambao umma ungeweza kushinikiza wawajibishwe.
Mimi nilimwelewa Askofu Gwajima vizuri..Ni excuse nzuri ambayo inaendelea kuwalinda wasiojulikana na wakati huo huo mkamuona amefanya kitu.
Hii ndiyo inaitwa ''akili nyingi huondoa maarifa'' Yaani unafikiria jambo dogo kwa kutumia akili nyingi mpaka unapata jawabu tofauti kabisa kabisa. Sikilia: take it simple!Ningependa sana nimuamini Gwajima ila naamini mwenendo ni ule ule. Wameamua kuwahi kuweka mtu upande wa pili wa sakata hili kwa kukemea, dhamira ikiwa ile ile kucontrol narrative na outcome ya baadae ya suala hili zima.
Watu wawili wanaweza kusema kitu kile kile ila kama dhamira ni mbili tofauti, hata impact zake zitakuwa tofauti.
Umemaliza maneno yangu. Gwajima baada ya kuingia bungeni kwa njia haramu, alipoteza mvuto sana, lakini hizi siku mbili zimefanya watu wengi wampende. Asikudanye mtu: nchi yenye watu waoga kukemea uovu hadharani kama Tanzania, Gwajima anatakiwa kulindwa kama dhahabu.What matters mostly ni ajenda aliyoi advance Gwajima kwenye jamii. Umaarufu wa Gwajima umepanda sana na actually amepunguza maadui wengi wa kisiasa, kiimani na kijamii aliyokuwa nao kabla.
1:Hoja yake ya watu kutekwa, kuuliwa na kuteswa kinyama ni jambo linalotokea. Tujadili hoja yake bila kujali kaileta nani.
2: Kuna wana CCM wengi wenye hoja hiyo ya Gwajima ila ni waoga kudhubutu kulipua, kwa kuogopa kukosa uteuzi wa normination za ubunge au kutendewa anayotendewa.
3: Kwenye siasa kuna dhamana ya kulipa ( a price to pay). Gwajima alijuafika kwa ana risky political benefits and mileage. Ana risky kutolipwa kinwa mgongo wa ubunge kama 300m. Ana risky kukosa uteuzi ( normination) wa ubunge sabab juzi M/kiti Ccm taifa kaweka waz kuwa Magwajimation wawe excluded kwenye normintion process.
With those notes, Gwajima ni wa kupongezwa sio kukatisha tamaa.
Tukipata akina Gwajima 10 utekaji utakoma.
Jana niliangalia press conference live Kenya ya Boniphace Mwangi na Aghata na ilirushwa kwa Kiingereza, dunia nzima ilipata. Walioyasimulia. Nchi ilivuliwa nguo. Najiuliza ukitokea mkutano wa EAC na unafanyiwa Kenya na Heads of Member States ndo wajumbe. Mama Samia je ataenda kwenye nyuso za Wakenya ambao walimpiga Rais wao kiatu kichwani. Na aliyempiga yuko rumande angakuwa Tz wangemua on the spot.
Gwajima apongezwe ili wenye misimamo kama yake wajitokeze tupate ukomboz
Kwanini Gwajima akubali kusimamia haki, kufungiwa kanisa lake, kisa kuitetea haki.Huoni hiki ndio inachokitaka. Imagine Gwajima ni mtu wao na wakimfungia inakua kama mfano kwa wengine lakini ki uhalisia yeyr hajaguswa. Ni bosheni tu.
Mzee umemaliza. Kitabu che The prince cha Machievelli kimeandika kuhusu mbinu ya kuendelea kushikilia utawala. kwa njia hizi hizi CCM na tawala mbalimbali inazitumia. Imagine kitabu kimeandikwa 1513 na mpaka leo kinafanya kazi. Hakuna jipya kwenye hii dunia. Nimegundua wanaharakati wengi wajinga sana,nimeshuhudia kukiwa na jambo hili linalowaunganisha watanzania anatafutwa mwanaharakati mmoja mwenye mdomo mdomo, anapewa a controversial tweet ya kuwagawa watu bila yeye kujua kua ile tweet itawagawa watu.
Gwajima hajawai kua mpinzani wamesahau babu wa Loliondo Gwajima anatumika watu wametoka kwenye REFORMSIla Gwajima siyo mpinzani!