Kumuamini Askofu Gwajima ni kutopevuka kisiasa na kuuzwa kirahisi katika propaganda

Hahaha niliwaambia "huwezi jirushia jiwe" yani huwezi kurusha jiwe upande uliopo.

Ukitaka kurusha jiwe upande uliopo lazima uje huku tulipo kisha tuanze kurusha upande uliotoka.
 


SAWASAWA kama kweli CCM inapiga vita watu wasiojulikana wangeanza na kulivunja hili jeshi lao la Janjaweed lililopo hapa Zanzibar ambalo wanaligharamia siku zote na ikifika wakati wa uchaguzi huwa wanapiga watu mchana kweupe na wengine hata kuwauwa.

Hayo mambo yalianza tokea kumalizika uchaguzi wa 1995 kwa huku Zanzibar na mpaka leo yanaendelea lakini hakuna aliyenyanyuwa mdomo kuyapinga kwa huko bara zaidi ya Ustadhi kundecha na sheikh ponda wengi humu JF walikuwa wakikejeli na kutoa matusi kufurahia unyama wa CCM.
Leo karma imeanza kuwatesa
 
Mzee umemaliza. Kitabu che The prince cha Machievelli kimeandika kuhusu mbinu ya kuendelea kushikilia utawala. kwa njia hizi hizi CCM na tawala mbalimbali inazitumia. Imagine kitabu kimeandikwa 1513 na mpaka leo kinafanya kazi. Hakuna jipya kwenye hii dunia. Nimegundua wanaharakati wengi wajinga sana,nimeshuhudia kukiwa na jambo hili linalowaunganisha watanzania anatafutwa mwanaharakati mmoja mwenye mdomo mdomo, anapewa a controversial tweet ya kuwagawa watu bila yeye kujua kua ile tweet itawagawa watu.
 
Ndugu Keynez unahitaji kuelimishwa kidogo
Sijui kwa nini mnadhani nampinga Gwajima kwa sababu ya makandokando yake. Mimi hata sipo huko. Hata angekuja Charles Kimei akasema alichosema Gwajima, ningekuja kupinga hivi hivi na kwa sababu hizi hizi.
Si kweli mantiki ya kila unachokiandika kinasadifu the opposite ya hiki ulichokiandika hapa.

Ni kwamba unampinga Gwajima kwa sbb na yeye unamuona ni msanii na anatumiwa na serikali ku - divert attention ya wananchi ili Samia apate ahueni na nafuu fulani kutoka ktk mashambulizi anayopata nje na ndani ya nchi...

Na kwamba, Gwajima anatuzuga tu lakini kwa mlango wa nyuma anakula na kucheka nao haohao anaojidai kuwapinga, au siyo bhana..?

Ndo mimi binafsi, nasema it's a BIG NO...

Things are quite different this time. This is a real battle inayokwenda ku set a new direction of our nation
Ngoja niwaambie distruption inayotakiwa. Si Gwajima amesema watendaji wa serikali na wateule wanajua kila kitu ila wanaogopa kutumbuliwa (ingawa serikalini hawatumbuani ila wanahamishana vituo vya kazi)?
Soma hapo☝🏻 juu..

I say, not this time...

Huu ni mpambano wa kweli kati ya HAKI na UOVU...!
Wewe kumbe ni mtoto kabisa...

Ndiyo njia yako ya kupambana na UOVU...?

We don't go that way.

Ukisham - unfollow ndo atashindwa kuja kumteka nduguyo na kumuua..?
Mnadhani mnahitaji kufanya mambo makuuuubwa ili kuwaondoa comfortability ila mbinu nyingi zipo mikononi mwenu.
Hii strategy ya Tundu Lissu na Josephat Gwajima inatumia mambo makubwa kwani kupambana na watu hawa..?

Kwani umewaona CHADEMA ya Tundu Lissu imebeba bunduki? Umemwona Askofu Gwajima ana jeshi lenye silaha kupambana na uovu wa serikali ya Samia na CCM..?

No....!!

Just simple ways are being applied. Na njia yenyewe ni ku - expose mipango, mbinu na njia wanazotumia kutenda uovu wao.. Shetani hapendi umjue au kuzijua mbinu na njia zake za kutenda uovu wake...

Na unaona bila shaka jinsi njia hii ilivyo very effective kiasi cha kwamba mashetani yote, wachawi wote na majini yote ya Kizimkazi - Zanzibar yameitwa kuja kumsaidia mama...

Haya ya fungua kesi ya uhaini, fungia kanisa lake, acha kutambua viongozi wa CHADEMA ni matokeo ya ufalme wa kipepo na kishetani kujihami ili usianguke...!!
 

Gwajima kashafanya disruption yake, anavyojua yeye, kwa njia yake.

Kama unaona haitoshi au haifai, fanya yako wewe nawe unavyotaka tuone.

Hawa CCM wasio na haya ndiyo unafikiri utawabadikisha kwa kuwatenga kijamii? Wakati wao ndio wana power?
Hii inaweza kuwa just a setup to a joke. Wenzenu wanaplay a long game na hawajadumu muda mrefu hivi bila kujua wanafanya nini.

Wanaweza kuwapa matumaini ya muda mfupi wakijua wanachofanya kina faida za muda mrefu kwa chama chao. Wamefanya hivi hivi mara nyingi sana, inashangaza hatujifunzi.

Kwa lugha nyingine, bila kuangalia kwa kina, utashindwa kujua alichofanya Gwajima kina uwezekano wa kuwa na faida ya muda mrefu kuliko madhara ya muda mfupi kwa CCM.

All in all, naombea utekaji ukome, wahusika wawajibishwe na tujenge taifa la kistaarabu lenye kufuata misingi na sheria na utawala bora. Mambo mengi ya kishamba yanayoendelea nchi hii siyaafiki.
 
Mkuu,

What is a set up to a joke?

Nchi inazizima unasema this is a set up to a joke?

And if it indeed a setup to a joke, wewe unafanya nini kilicho serious?
 

..tutumie mbinu zote zilizopo, na wote waliotayari kutetea HAKI.

..tutumie mbinu za kina Gwajima ambazo unadai zina madhara ya muda mfupi kwa Ccm.

..pia tutumie mbinu unazopendekeza ambazo unaelekeza kwamba zina madhara ya muda mrefu kwa Ccm na watekaji.

..wote tuungane kwani adui yetu ni mmoja, na amejionyesha waziwazi.
 
Mkuu,

What is a set up to a joke?

Nchi inazizima unasema this is a set up to a joke?

And if it indeed a setup to a joke, wewe unafanya nini kilicho serious?
Setup to a joke maana haujui kesho Gwajima ataamka na lipi ili kutupa punchline. Upe muda nafasi, tutarudi hapa.

I hope I'm wrong, I really do!
 
It's divide and conquer
 
You need distruptors. You need to get CCM out of its comfort zone. Do it and do it persistently and CCM will fall down.
They are absolutely out of their comfort zone. Don't you see it..?
Maelezo ya Gwajima yanaendelea kuiweka CCM katika comfort zone maana amewasafisha watu ambao umma ungeweza kushinikiza wawajibishwe.
No true again..

CCM are completely out of their comfort zones because of these raids...!

The evidence is vivid and open for anyone to see...

They are so desperate in way that, they are ready to use any possible ways be it legal or illegal just to maintain their presence...
Ni excuse nzuri ambayo inaendelea kuwalinda wasiojulikana na wakati huo huo mkamuona amefanya kitu.
Mimi nilimwelewa Askofu Gwajima vizuri..

Mara ya kwanza alipojitokeza, alituonesha tatizo la utekaji na uuaji liko wapi na akatoa na mapendekezo ya nini kifanyike...

Ktk kuonesha Tatizo, Rais ambaye ndiye Commander in chief wa majeshi yote ya ulinzi na usalama alihusishwa moja kwa moja na tatizo la utekaji na mauaji ya raia wasio na hatia unless uwe mgumu wa kuilewa ile speech..

Na kwa kuhusishwa Amiri jeshi mkuu (Rais) utasemaje hakusema moja kwa moja polisi au TISS hawahusiki..?

Obvious, maana yake wanahusika...

Ni kwamba speech ile ya ushauri ilikuwa so diplomatic na iliyojaa uungwana. Si kama ya wanasiasa kina John Heche au Tundu Lissu au Zito Kabwe ambao wenyewe wanakuchana moja kwa moja hukohuko jukwaani...
 
Setup to a joke maana haujui kesho Gwajima ataamka na lipi ili kutupa punchline. Upe muda nafasi, tutarudi hapa.

I hope I'm wrong, I really do!
Kwa nini una focus kwa mtu Gwajima wakati kuna hoja ya kupinga utekaji ambayo ni kubwa kuliko Gwajima?

Kesho Gwajima akiamka na kuipinga hoja ya kupinga utekaji tutamuona msaliti na kuendelea na hoja ya kupinga utekaji.

Kwa nini tunamuangalia sana mtu badala ya hoja?

Gwajima is just a charlatan. But his message against abduction is spot on. Even as he is also a horrible CCM apologist.

Kwa nini tunapata tabu kufanya kazi na nuance?
 
What matters mostly ni ajenda aliyoi advance Gwajima kwenye jamii. Umaarufu wa Gwajima umepanda sana na actually amepunguza maadui wengi wa kisiasa, kiimani na kijamii aliyokuwa nao kabla.

1:Hoja yake ya watu kutekwa, kuuliwa na kuteswa kinyama ni jambo linalotokea. Tujadili hoja yake bila kujali kaileta nani.

2: Kuna wana CCM wengi wenye hoja hiyo ya Gwajima ila ni waoga kudhubutu kulipua, kwa kuogopa kukosa uteuzi wa normination za ubunge au kutendewa anayotendewa.

3: Kwenye siasa kuna dhamana ya kulipa ( a price to pay). Gwajima alijuafika kwa ana risky political benefits and mileage. Ana risky kutolipwa kinwa mgongo wa ubunge kama 300m. Ana risky kukosa uteuzi ( normination) wa ubunge sabab juzi M/kiti Ccm taifa kaweka waz kuwa Magwajimation wawe excluded kwenye normintion process.

With those notes, Gwajima ni wa kupongezwa sio kukatisha tamaa.

Tukipata akina Gwajima 10 utekaji utakoma.

Jana niliangalia press conference live Kenya ya Boniphace Mwangi na Aghata na ilirushwa kwa Kiingereza, dunia nzima ilipata. Walioyasimulia. Nchi ilivuliwa nguo. Najiuliza ukitokea mkutano wa EAC na unafanyiwa Kenya na Heads of Member States ndo wajumbe. Mama Samia je ataenda kwenye nyuso za Wakenya ambao walimpiga Rais wao kiatu kichwani. Na aliyempiga yuko rumande angakuwa Tz wangemua on the spot.

Gwajima apongezwe ili wenye misimamo kama yake wajitokeze tupate ukomboz
 
You need distruptors. You need to get CCM out of its comfort zone. Do it and do it persistently and CCM will fall down.
They are absolutely out of their comfort zone. Don't you see it
Maelezo ya Gwajima yanaendelea kuiweka CCM katika comfort zone maana amewasafisha watu ambao umma ungeweza kushinikiza wawajibishwe.
No true again..

CCM are completely out of their comfort zones...!!

The evidence is vivid and open for anyone to see...

They are so desperate in way that, they are ready to use any possible ways be it legal or illegal just to maintain their presence...
Ni excuse nzuri ambayo inaendelea kuwalinda wasiojulikana na wakati huo huo mkamuona amefanya kitu.
Mimi nilimwelewa Askofu Gwajima vizuri..

Mara ya kwanza alipojitokeza, alituonesha tatizo la utekaji na uuaji liko wapi na akatoa na mapendekezo ya nini kifanyike...

Ktk kuonesha Tatizo, Rais ambaye ndiye Commander in chief wa majeshi yote ya ulinzi na usalama alihusishwa moja kwa moja na tatizo la utekaji na mauaji ya raia wasio na hatia unless uwe mgumu wa kuilewa ile speech..

Na kwa kuhusishwa Amiri jeshi mkuu (Rais) utasemaje hakusema moja kwa moja kuwa polisi au TISS wanahusika..?

Obvious, maana yake wanahusika...

Ni kwamba speech ile ya ushauri ilikuwa so diplomatic na iliyojaa uungwana. Si kama ya wanasiasa kina John Heche au Tundu Lissu au Zito Kabwe ambao wenyewe wanakuchana moja kwa moja hukohuko jukwaani...

Angekuwa ametumwa ku divert attention na mashambulizi dhidi ya serikali na Samia, asinge concur na hoja za CHADEMA ktk namna ya kuzipa nguvu...

Lakini, maudhui ya Speech yake yote moja kwa moja ni REFORMS za mfumo wetu wa utawala kutoka kwenye msingi ambao ni katiba...

Ndiyo maana wanamuona ni adui yao huyo, si mwenzao kumbe. Na matokeo yake ni haya unayoyaona...!

Shika na elewa hilo
 
Hii ndiyo inaitwa ''akili nyingi huondoa maarifa'' Yaani unafikiria jambo dogo kwa kutumia akili nyingi mpaka unapata jawabu tofauti kabisa kabisa. Sikilia: take it simple!
 
Gwajima anatumikia mfumo wa Tanganyika wamerogwa
 
Umemaliza maneno yangu. Gwajima baada ya kuingia bungeni kwa njia haramu, alipoteza mvuto sana, lakini hizi siku mbili zimefanya watu wengi wampende. Asikudanye mtu: nchi yenye watu waoga kukemea uovu hadharani kama Tanzania, Gwajima anatakiwa kulindwa kama dhahabu.
 
Huoni hiki ndio inachokitaka. Imagine Gwajima ni mtu wao na wakimfungia inakua kama mfano kwa wengine lakini ki uhalisia yeyr hajaguswa. Ni bosheni tu.
Kwanini Gwajima akubali kusimamia haki, kufungiwa kanisa lake, kisa kuitetea haki.

Gwajima anaweza kuisifia CCM akaishi vizuri tu bila kujali haki ya yoyote kama CCM ya sasa.
 

Umemsoma vibaya sana Machiavelli. Rudi kumsoma upya hasa ukiwa new Prince.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…