Kweli kabisa aiseeee hiko kipaji cha kufanya awe mtumwaaa aaaah mbna ndo navo wafanya aiseeeNi rahisi sana. Mfanye awe mtumwa kwako, kihisia na kifikra ndo utajua jinsi hawa viumbe wako vulnerable.
Mishangazi sio?Kweli kabisa aiseeee hiko kipaji cha kufanya awe mtumwaaa aaaah mbna ndo navo wafanya aiseee
Sisi wanaume tuna kaliba ya kuwachukulia wanawake tofauti na sisi kihisia. Hapo ndo unakuta mtu anaona ni sahihi ye kuzichapa nje lakini ye akichapiwa anaona mwanamke jau.Shortly
Wanaoomba namba nao wana wake zao na wapenzi wao, so hii ni game ya pande zote ke na Me hatujui nini? Tunataka
Zamani nilikua najua mimi kipaji changu ni kula mishangazi tuuMishangazi sio?
Hao wanaume wanaowaomba namba wao wanakuwa hawana mahusiano na wanawake wengine?Hichi kitu nikikifikiria bado majibu hayaji kichwani.
Mwanamke unakuaje katika mahusiano ya dhati na mtu wako huenda mnapendana sana tu lkn huku nje mkiombwa namba mnatoa tu safi,na baadhi yenu mnarespond kila kitu
kweli kuwatetea dada zetu ni kazi hatujuwi tuwaweke fungu lipi?
Ahahahahha oa banaKama ndo hivo basi mimi siowi tena coz sitaki kufa na stress
TunaoHao wanaume wanaowaomba namba wao wanakuwa hawana mahusiano na wanawake wengine?
Hapana kaka acha nibaki singleAhahahahha oa bana
Kabisakuishinda dhambi kwa nguvu zetu ni uongo. Tunauhitaji msaada wa Mungu. Ndio maana twapaswa kuyakabidhi maisha yetu kwa Bwana YESU, ayamiliki Yeye tuanze kuongozwa na Roho Mtakatifu. Ndiposa tutatembea katika ushindi wa dhambi.
CHAPUTAHapana kaka acha nibaki single