Kumuelewa mwanamke ni kazi kweli kweli

Kumuelewa mwanamke ni kazi kweli kweli

Mwanaume una mpenzi ila binti akijichanganya unapita nae
Mwanaume ume oa au una mpenzi na bado unaomba namba wanawake wengne

Wote ni wale wale hamueleweki akuna wa kumtetea wanaume wengi niwa hovyo kama ilivyo kwa wanawake
 
Mwizi huwa hataki kuibiwa, ninavyopiga nje haimaanishi nataka na mimi nipigiwe, kama mkewangu anaweza kunisamehe akinishika hayo ninmaamuzi yake ila mimi nikimshika siwezi kumsamehe.

kwahiyo kupiga nje na kupigiwa ni vitu ambavyo havihusiani kabisa.
 
Hichi kitu nikikifikiria bado majibu hayaji kichwani.
Mwanamke unakuaje katika mahusiano ya dhati na mtu wako huenda mnapendana sana tu lkn huku nje mkiombwa namba mnatoa tu safi,na baadhi yenu mnarespond kila kitu

kweli kuwatetea dada zetu ni kazi hatujuwi tuwaweke fungu lipi?
Hata mimi hichi kitu bado majibu hayaji kichwani.
Mwanaume unakuwaje katika mahusiano ya dhati na mwanamke wako huenda mnapendana sana tu lakini huko nje unaomba namba za simu kwa wadada wengine unapewa tu safi, baadhi yenu mnawa entertain na kurespond kila kitu.

Kweli kuwatetea kaka zetu ni kazi hatujui tuwaweke fungu lipi?
 
Kiukweli
Mi nakulaga tuu aiseee nakula mno tena nina huruma sana, sasa wewe endelea kula tomato na kufokea demu wako...
Na safari hii pesa hatutoi kabisa aiseeee nakula mali safi na pesa hutoi yaan mi nipo nduki na harakati zangu
Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini hili.
Unless umelose hope au maisha yako umeyaweka rehani!
 
Back
Top Bottom