Kumuelewa mwanamke ni kazi kweli kweli

Kumuelewa mwanamke ni kazi kweli kweli

Mkuu, unaumiza kichwa bure, ukweli ni kwamba wengi wao wanaamini kwenye options.

Kwa mwanamke wa aina hiyo, mahusiano ya dhati huwa yako based on security, namba anazotoa nje huwa ni validation au backup plan.

Ni complex psychology wanapenda kujihisi wanahitajika na watu wengi ili kuongeza self esteem yao.
Ndiyo maana mwanamke ukianza naye mahusiano inakuwa rahisi kukupenda daima lakini kama utaanza na concord ukimpendezesha kidogo tu anajipost kwa ma-ex zake bila haya anaombwa mechi ya ugenini utasikia naenda kwa shangazi kusalimia
 
Wanawake walio wengi wana tabia ya kupenda kuendelea kukubalika nje hata kama yupo kwenye mahusiano.

Wewe kama mwanaume unapaswa kutambua thamani yako, mwanamke anayekufanya wewe kuwa mbadala hastahili kuwa priority yako.
 
Hichi kitu nikikifikiria bado majibu hayaji kichwani.
Mwanamke unakuaje katika mahusiano ya dhati na mtu wako huenda mnapendana sana tu lkn huku nje mkiombwa namba mnatoa tu safi,na baadhi yenu mnarespond kila kitu

kweli kuwatetea dada zetu ni kazi hatujuwi tuwaweke fungu lipi?
Wewe tafuta hela , hayo mambo ya wanawake unataka uyaelewe ili yakusaidie nini?
 
Hichi kitu nikikifikiria bado majibu hayaji kichwani.
Mwanamke unakuaje katika mahusiano ya dhati na mtu wako huenda mnapendana sana tu lkn huku nje mkiombwa namba mnatoa tu safi,na baadhi yenu mnarespond kila kitu

kweli kuwatetea dada zetu ni kazi hatujuwi tuwaweke fungu lipi?
Mbona wanaume hatukafai mbunye tukipewa....ata wao hawawezi kataa fursa ya kupiga pesa zaidi
 
Back
Top Bottom