Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,626
- 2,961
Sasa kama na wewe una mke au mpenzi wako ni kwa nini unaomba namba za wanawake wengine?Tunao
Sasa kama na wewe una mke au mpenzi wako ni kwa nini unaomba namba za wanawake wengine?Tunao
Tatizo nalo hilo mnapaswa mkakiangalie kwa huyu mtu😂Ila badae nikakuta naanza kuwa connected na wamama wajawazito.
Uli update vipi man Emb fungua hiyoo code!Nika update files kwa mukuki nikaanza sasa kwenda na hawa wa 2000 aiseeee hawa watoto ni shida an wanajikuta wanapenda sanaaaaa kiasi ambacho nikajutia sasa..
Haya mambo ni naturally mkuu...Sasa kama na wewe una mke au mpenzi wako ni kwa nini unaomba namba za wanawake wengine?
Mshangazi chakula chake utakitolea jasho kweli. Juzi hapo nimeumwa mbavu kisa kukamia show mpaka sasa sina hamu mkuuTatizo nalo hilo mnapaswa mkakiangalie kwa huyu mtu😂
Sasa si Mshangazi unakupa chakula? Kitumie kisawasawa
Uli update vipi man Emb fungua hiyoo code!
Hapana kaka sipo hukoCHAPUTA
Utakua mjomba wa hovyo sana kama kina mbaga
Baba mtakatifu91 usiowe ndugu yang utakufa mapemaKama ndo hivo basi mimi siowi tena coz sitaki kufa na stress
Kwani ukiwa na ajira na ukaliona tangazo la kazi ambayo unahisi ina maslahi mazuri utashindwa kuapply? Ushawahi kuona mtu ameanza kazi hiyo hiyo moja hadi anastaafu? Hata Julius Kambarage Nyerere aliacha ualimu.Hichi kitu nikikifikiria bado majibu hayaji kichwani.
Mwanamke unakuaje katika mahusiano ya dhati na mtu wako huenda mnapendana sana tu lkn huku nje mkiombwa namba mnatoa tu safi,na baadhi yenu mnarespond kila kitu
kweli kuwatetea dada zetu ni kazi hatujuwi tuwaweke fungu lipi?
Poor Brain ndugu yetu unapanda mlima kitonga taratibuMshangazi chakula chake utakitolea jasho kweli. Juzi hapo nimeumwa mbavu kisa kukamia show mpaka sasa sina hamu mkuu
Kuhusu ku update kuna dawa inaitwa MUKUKI wanauza mashekhe
Kabisa kaka nitasoma kitabu cha Achinua Achebe I will marry when I wantBaba mtakatifu91 usiowe ndugu yang utakufa mapema
wahenga wanasema mshika mawili moja si humponyokaKwani ukiwa na ajira na ukaliona tangazo la kazi ambayo unahisi ina maslahi mazuri utashindwa kuapply? Ushawahi kuona mtu ameanza kazi hiyo hiyo moja hadi anastaafu? Hata Julius Kambarage Nyerere aliacha ualimu.
Mjitmb muache malalamiko.....😂😂😂sas tufanyaje
We jamaa utakufa vibaya sanaaMshangazi chakula chake utakitolea jasho kweli. Juzi hapo nimeumwa mbavu kisa kukamia show mpaka sasa sina hamu mkuu
Kuhusu ku update kuna dawa inaitwa MUKUKI wanauza mashekhe
Haya tukupe dakika NGAPI....Hapana kaka sipo huko
Ndiyo yule aliyempa namba akimuelewa anampiga chini wa mwanzo...wanawake huwa wanaBET kwa wanamme wao wa maisha.wahenga wanasema mshika mawili moja si humponyoka
Matatizo ya akili haya sio😂Nyie mnakuaga kama machizi, kutongoza mtongoze nyie, mtmb na kfr nyie, na walalamikaji ni nyie nyie.....