Kumuelewa mwanamke ni kazi kweli kweli

Ila badae nikakuta naanza kuwa connected na wamama wajawazito.
Tatizo nalo hilo mnapaswa mkakiangalie kwa huyu mtuπŸ˜‚

Sasa si Mshangazi unakupa chakula? Kitumie kisawasawa


Nika update files kwa mukuki nikaanza sasa kwenda na hawa wa 2000 aiseeee hawa watoto ni shida an wanajikuta wanapenda sanaaaaa kiasi ambacho nikajutia sasa..
Uli update vipi man Emb fungua hiyoo code!
 
Sasa kama na wewe una mke au mpenzi wako ni kwa nini unaomba namba za wanawake wengine?
Haya mambo ni naturally mkuu...
Mfano kama mimi hata niwe na wapenzi watatu ila bado tuuu nikikutana na species' ipo poa lazima niweke makazi ya kuda mfupi
 
Tatizo nalo hilo mnapaswa mkakiangalie kwa huyu mtuπŸ˜‚

Sasa si Mshangazi unakupa chakula? Kitumie kisawasawa



Uli update vipi man Emb fungua hiyoo code!
Mshangazi chakula chake utakitolea jasho kweli. Juzi hapo nimeumwa mbavu kisa kukamia show mpaka sasa sina hamu mkuu


Kuhusu ku update kuna dawa inaitwa MUKUKI wanauza mashekhe
 
Kwani ukiwa na ajira na ukaliona tangazo la kazi ambayo unahisi ina maslahi mazuri utashindwa kuapply? Ushawahi kuona mtu ameanza kazi hiyo hiyo moja hadi anastaafu? Hata Julius Kambarage Nyerere aliacha ualimu.
 
Mkuu, unaumiza kichwa bure, ukweli ni kwamba wengi wao wanaamini kwenye options.

Kwa mwanamke wa aina hiyo, mahusiano ya dhati huwa yako based on security, namba anazotoa nje huwa ni validation au backup plan.

Ni complex psychology wanapenda kujihisi wanahitajika na watu wengi ili kuongeza self esteem yao.
 
Kwani ukiwa na ajira na ukaliona tangazo la kazi ambayo unahisi ina maslahi mazuri utashindwa kuapply? Ushawahi kuona mtu ameanza kazi hiyo hiyo moja hadi anastaafu? Hata Julius Kambarage Nyerere aliacha ualimu.
wahenga wanasema mshika mawili moja si humponyoka
 
Mshangazi chakula chake utakitolea jasho kweli. Juzi hapo nimeumwa mbavu kisa kukamia show mpaka sasa sina hamu mkuu


Kuhusu ku update kuna dawa inaitwa MUKUKI wanauza mashekhe
We jamaa utakufa vibaya sanaa

Kwamba unakamia mpk mgongo unatuma, na bado unatumia mikuki Daah mwanangu have a nice journey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…