Kumuomba mwanamke msamaha sio kosa hata kama hujamkosea

Kumuomba mwanamke msamaha sio kosa hata kama hujamkosea

Kama hutaki kuwa mwanaume si ungesema tu, kuliko kutuletea huu ushauri. Mwanaume huwa hakosei, ni anapitiwa tu basi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sahii kabisa,
Hata wife nilishamwambia asije nambia hata siku Moja eti nmekosea, atakula klebu ya maana.

Mimi napitiwa TU na Shetani bahati mbaya, sikosei kabisa Mimi[emoji3525]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumuomba msamaha mwanamke Ni kumtangazia wazi kua wewe Ni dhaifu,

Kwaiyo yeye ndo aitumie vema nafas iyo ya Udhaifu wako kukunyoosha akili ikukae sawa.

Naongea from experience,
Mwanaume kamwe hakuwai kuumbwa dhaifu kwa mwanamke wake [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unless uwe na maslahi yako hapo kwa mwanamke. Mbali na hapo mwanamke anapaswa kuwa weak kwa mwanaume na sio mwanaume kuwa weak.
 
Unachopaswa kufahamu mtoa mada,

Mwanaume aliyekamilika kamwe haombi msamaha kwa mwanamke,

Bali hutafta namna nzuri ya kuyamaliza na mwanamke wake[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu, mi huwa hata kama nimemkosea huwa siombi msamaha ila huwa kuna namna unamvuta akijaaa yameisha tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ila kuomba msamaha ni hatari kwa afya yako.
 
Kumuomba msamaha mwanamke Ni kumtangazia wazi kua wewe Ni dhaifu,

Kwaiyo yeye ndo aitumie vema nafas iyo ya Udhaifu wako kukunyoosha akili ikukae sawa.

Naongea from experience,
Mwanaume kamwe hakuwai kuumbwa dhaifu kwa mwanamke wake [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe niliona kwa yule mchepuko wako ulikuwa humuombi msamaha bali ulikuwa unaingia ndani nakuanza kuila papuchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unaweza ukafikiri tunajadili na great thinker kumbe limbwata thinker dunia ishavaa dera la rangirangi hii..[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumuomba msamaha mwanamke Ni kumtangazia wazi kua wewe Ni dhaifu,

Kwaiyo yeye ndo aitumie vema nafas iyo ya Udhaifu wako kukunyoosha akili ikukae sawa.

Naongea from experience,
Mwanaume kamwe hakuwai kuumbwa dhaifu kwa mwanamke wake [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume ni dhaifu mno mbele ya mwanamke ila baadhi ya wanawake hawajui tu namna ya kuitumia nguvu waliyo nayo!!!
 
Back
Top Bottom