Kumuomba mwanamke msamaha sio kosa hata kama hujamkosea

Kumuomba mwanamke msamaha sio kosa hata kama hujamkosea

Nawapigaje picha watu jaman.... ameshaoga mda huu nadhan watakuwa wamepumzika... (ila me mmbea )
Upo na nani hapo ulipo mama.? Hahah asili ya mwanamke wala usijiskie vibaya
 
Nsamehe bhana, iyo Jana yenyewe at ningekutafta ningeishia kukuboa TU maana akili Zilikua fyatu tayar[emoji4]
Msamaha ulishatangazwa mbona wewe ndo unauchelewesha... timiza condition undugu urudi...
Kwani week end ni mbali sana?
Ujue aliyeshiba hamjui mwenye njaa... unajua ni kiasi gan ile ishu ni ya muhimu ila umeamua kunichomesha mahindi tangu sijui lini ilee.... sawa uko busy...umekuwa Mungu? 😇😇 kwani nataka kuongea na raisi bwanaaaa
( 🤣🤣🤣Huu undugu ukiendelea kwa povu hili ntajua kweli ile ego yako imepungua )
Ndo ujue upande mwingine wa binamu yako.. nimekumind..
 
Msamaha ulishatangazwa mbona wewe ndo unauchelewesha... timiza condition undugu urudi...
Kwani week end ni mbali sana?
Ujue aliyeshiba hamjui mwenye njaa... unajua ni kiasi gan ile ishu ni ya muhimu ila umeamua kunichomesha mahindi tangu sijui lini ilee.... sawa uko busy...umekuwa Mungu? [emoji56][emoji56] kwani nataka kuongea na raisi bwanaaaa
( [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu undugu ukiendelea kwa povu hili ntajua kweli ile ego yako imepungua )
Ndo ujue upande mwingine wa binamu yako.. nimekumind..
Kesho jion I promise [emoji4][emoji120]
SITOKUANGUSHA KABISA
 
Back
Top Bottom