Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
😂😂😂😂Hii haikuhusu wewe,Kwa jinsi unavyoitendea haki wallet yako hapana wewe hukosei hata siku moja. Hii inawahusu wanaume bahili Ndio watuombe msamaha na nguo watufulieMmh![emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Hii haikuhusu wewe,Kwa jinsi unavyoitendea haki wallet yako hapana wewe hukosei hata siku moja. Hii inawahusu wanaume bahili Ndio watuombe msamaha na nguo watufulieMmh![emoji848]
😂😂😂😂😂😂Ila wewe una hekaheka jamani!sikulala,
Niliondoka Saa 8 na nusu usiku kwenda KWANGU Kisha nikarud Tena alfajir ya saa 12
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hii ni ngumu sana kama jina lakoSasa km umelogwa kwanini usifanye???
Hivo ni vitu vyakawaida kbs tena ukiweza gombana na ndugu Zako wote
Basi bila shaka unalelewa. Nikosa kubwa Sana kumuomba mwanamke msamaha; labda utakuwa huwajui wanawake wewe.Sitafwata ushauri wa kijinga wa kibabe wa wanaume wenzangu mimi nitamuomba shemeji yenu msamaha
As far as it is your opinion I don't careHuo utamu ni kuwa free agent tu😅 una freak out na watu tofauti! Unakuwa huna mtu wako permanent its risky!
Leo hii umekuwa mtu wa i dont care?😅 Kweli usimdharau usiyemjuaAs far as it is your opinion I don't care
Naomba unisameheLeo hii umekuwa mtu wa i dont care?[emoji28] Kweli usimdharau usiyemjua
Unachopaswa kufahamu mtoa mada,
Mwanaume aliyekamilika kamwe haombi msamaha kwa mwanamke,
Bali hutafta namna nzuri ya kuyamaliza na mwanamke wake[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app