Kumuomba mwanamke msamaha sio kosa hata kama hujamkosea

Mmh![emoji848]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hii haikuhusu wewe,Kwa jinsi unavyoitendea haki wallet yako hapana wewe hukosei hata siku moja. Hii inawahusu wanaume bahili Ndio watuombe msamaha na nguo watufulie
 
sikulala,
Niliondoka Saa 8 na nusu usiku kwenda KWANGU Kisha nikarud Tena alfajir ya saa 12
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila wewe una hekaheka jamani!
 
Sitafwata ushauri wa kijinga wa kibabe wa wanaume wenzangu mimi nitamuomba shemeji yenu msamaha
Basi bila shaka unalelewa. Nikosa kubwa Sana kumuomba mwanamke msamaha; labda utakuwa huwajui wanawake wewe.

Hivi una umri gani, tuanzie hapa
 
Kuishi maisha ya samahani hakutakusaidia lolote....

Mwanaume hata kama umekosea hutakiwi kusema samahani,,, Ni sawa na kufunua pazia, Wife akichungulia akaona yaliyopo ndani hakuna rangi utaacha kuona...

Be a Man | Hizo hekaya waachie Wafilipino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…