Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Mbaya zaidi, Njia iendayo upotevuni ni pana...na wengi wanaifuata.

Ila sishangai sana,
Hata shetani mwenyewe alivyokuwa anatupwa kutoka Mbinguni...Alishawishi theluthi ya malaika,wakaasi na hatimaye kitupwa pamoja naye.
 
Tapeli Kuhani Mussa kama matapeli wengine shenzi kabisa.
 
Najua hizo lakin2 ni sadaka , kwaajili ya ujenzi wa kanisa ambalo linajengwa..

Mi nimesali kwa Kuhani Musa ila sijawahi ingia ofisini kwake...

Nilikuwa naenda ibadani Tena kwa ku beep ila nimekua kiroho sababu ya mahubiri yake juu ya Yesu Kristo...
Mpigie debe.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
AMINA.Hiyo imeisha hiyo.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mi nilipelekwa kwa nabii .Naambiwa matatizo yangu yamesababishwa na Sada kuniibia manii yangu.Ikabidi nikubali nikubali tu ili nisiwauzi walionipeleka.Sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa Sada.Dawa michumvi,mimafuta na udongo wa madhabau.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Hapa sijaelewa nini ulimaanisha mkuu
Namaanisha kuwa hawa wauni wanaibia watu mchana kweupe wakisingizia kuwa wanamhubiri/tangaza Yesu ambaye aliwakataza wasitoze watu pesa.
Unfortunately utapeli wao uko wazi hawamuhubiri Yesu maana wangekuwa wanamtangaza Yesu kwanza wangeacha uzinzi pili wangeacha kutoza watu pesa kwa mgongo wa vifaa vya kiroho.
Shenzi kabisa
 
Ulimkamata yupi anafanya uzinzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…