Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Haswa
Mimi nimezaliwa na kukua katika familia ya kiganga. Tena ni waganga konki.
Mdingi anaweza kusoma Dua mpaka mti unakauka within 30 minutes.
Mpaka viongozi wa makanisa wenye Imani haba huenda kwake.
Sasa ninamjua Yesu na hawa matapeli nawajua.
 
Haswa
Mimi nimezaliwa na kukua katika familia ya kiganga. Tena ni waganga konki.
Mdingi anaweza kusoma Dua mpaka mti unakauka within 30 minutes.
Mpaka viongozi wa makanisa wenye Imani haba huenda kwake.
Sasa ninamjua Yesu na hawa matapeli nawajua.
Ngoja kwanza unamjuaje Yesu? Sema baba yako alikuwa na imani sana.
 
Na ukitoa ndogo unaishia kwa machawa wake
 
Wewe sio wa kuamini maana una chuki na ukristo….i japo kuna ukweli
Mimi ni Mkristo, ni pentecostal man, nimejaa roho Mtakatifu, ninanena kwa lugha, nina karama kadhaa pamoja na ya Kupambanua roho.
Nachukiwa na utapeli ndani ya kanisa.
Utapeli kanisani unafunga milango watu wa nje wasiingie ndani na wakiingia hawapati moto wa Roho wanabaki kuwa mijinga tu
 
Ninachojua kuwa ni sadaka...

Alafu haviuzwi Wala hulazikishwi sababu Kuna ambayo yanatolewa free ndani ya ibada

Unaposema Kuna ambayo hutolewa free, hilo ni kosa, inatakiwa kila kitu kiwe free vinginevyo huo ni wizi.

Kama ni Sadaka, basi pasingekuwa na price tag. Sadaka mtu hutoa kwa kile alichonacho hamna kima fulani.
 
Yesu ukitoa pesa mbuzi utawekewa mikono na machawa wake . Na hao machawa wana level zake
Ndo hivyo wajinga ndio waliwao..na siku ya jumapili ukipita pale nje temboni kuna watu kibao wako na bahasha wanagawa huruhusiwi uende kanisan kwake bila kuwa na bahasha uweke hela yaani pale bahasha kwanza ndio kiapumbele.
Sasa kinachonisikitisha sijawahi ona gwajiama au mwamposa au huyo mwasha labda akishiriki ibada ya kuzika labda kafa muumini wake haijawahi tokea.
 
Kuna mama mmoja kafilisi duka Chanika kisa kadi ya partnership ya kuchangia ujenzi hapo kwa Kuhani.
Kadi ile kubwa mpaka million kumi.

Yeye huyo mama anaenda kwa daladala la kuungaunga kwa kuhani alieanza ukuhani amevaa mokasini nyeupe, huko huyo kuhani kwakutumia hela zao za partnership anakuja kanisani kwa vougie na walinzi kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…