Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

we jamaa!!!!!
 
Una uhakika gani kuwa nguvu hizo za rohoni mwako hazina uhusiano na Lucifer? Yule baba wa Roho za Giza?
 
Utapeli tu huo.
 
Ukifa utajijua mwenyewe.
Ukionewa huruma sana utazikwa na Chawa wake, hapo uwe maarufu kidogo na zaka utoe za kutosha ndipo uzikwe na chawa
 
Aiseeee ..bora wewe umesema umeshawai kwenda ! Shida ni wengine kusema hawajawai gusa uko kote…….
Watu ni wanafiki. Sema wanaume wengi hawaendi kwa waganga ukilinganisha na wanawake. Wanawake wanaenda sana kwa waganga kuloga kwa mambo mengi. Kuloga waume zao ndo jambo kubwa zaidi. Inashauriwa mwanaume kwenye familia uwe mchawi zaidi ya mkeo au uwe mcha Mungu zaidi ya mkeo. Ukiyumba lazima utajuta baadae kwasababu wanawake kwenda kukuloga ni rahisi sana.
 
Hua najiuliza mtu unaambiwa toa sadaka utabarikiwa Hali yakua ww Maisha magumu kwan sadaka zenyew hua zinapelekwa wapi nachojua sadaka ni utoe kwa wasiojiweza ,mayatima na kwengine lkn sio ya uhaini kama ivi 😂
 
Eti mungu anaweza kutatua shida zako ndani ya sekunde!


Mamia ya wagonjwa walioko Muhimbili mbona hatujaona wakitatuliwa shida zao ? Au wote hawaishi katika huyo kristo ?


Kwanini huyo mungu wa Yakobo hakuzuia Hamas Wasiende kuvamia Lile tamasha la muziki pale Israel na wakaua watu 200 on sport siku ile tarehe 7 October 2023
 
Mganga wa kienyeji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…