The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Msukule huuKwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo ndipo nilipomjua YESU aliyehai...
Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...
Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa
Bwana YESU atukuzwe