Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Aiseee!
Yaani kumuona akufanyie maombi unalipia?

Yesu alisema umepewa bure toa bure
Math10:8

Kinyume na hapo,siyo maagizo ya Kristo..
Kama si ya Kristo basi ni maagizo toka sehemu nyingine ila siyo kwa Mungu.
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa Hosea 4 :6. Hiyo service ya 1 on 1 ni utapeli Mtupu. Hakuna nabii au mtume wa uongo asiyelipisha watu kwenye kuombea hata kwenye simu tu atakwambia utume hela ndio akuombee. Kanisa limevami na mbwa mwitu wakali wenye kuvaa ngozi za kondoo.
 
Mkuu mimi nimeshawahi kwenda kwa hawa manabii pamoja na kwa waganga. Yanayosemwa yote ni kweli. Kwangu mimi bora niende Sumbawanga kwa mganga kuliko hawa manabii ushuzi akiwemo huyu Kuhani mpuuzi Musa.
 
MAMAD KUNA AKUHANI WALIONDOLEWA MAJUZI WALIKUWA WANAFANYA UDALALI KUPITIA JINA LA BABA NA HATA WALIOBAKI WALIONYWA KANISANI..SASA ASIMCHAFUE DADY KWA UPUUZI WA WACHACHE KAMA AMEPIGWA AENDE POLISI NA SIO KUMCHAFUA KUHAN WANGU
Wewe tayari ushakuwa initiated kwenye cult ya huyo mganga jiandae kuwa mbuzi wa kafara. Eti asimchafue dady what a nonsense. Huyo Kuhani Musa ni occultic grandmaster sawa na Baba yake wa kiroho aliyejiita mzee wa Yesu.
 
Mwafrika yeyote kama ni Muislam au Mkristu ana matatizo ya kiakili tu, utafuatiliaje dini za watu bila kujuwa ukweli?
 
Mkuu mimi nimeshawahi kwenda kwa hawa manabii pamoja na kwa waganga. Yanayosemwa yote ni kweli. Kwangu mimi bora niende Sumbawanga kwa mganga kuliko hawa manabii ushuzi akiwemo huyu Kuhani mpuuzi Musa.
Aiseeee ..bora wewe umesema umeshawai kwenda ! Shida ni wengine kusema hawajawai gusa uko kote…….
 
Si angalau huyo!
Yupo mwengine wa Moro single 0.5M, family 1M
Hapo ukienda na laki mbili yako wasaidizi wake hawakuchekei... unarudi hivihivi
 
Watu badala ya kutafuta kumuona Yesu kwa maombi yako mwenyewe, unataka kumuona binadamu mwenzio. ambaye kwenye tv unamuona.
Kila siku nazidi kuona ufunuo wa Yesu watakuja macristo wa uongo.
Watu wangu wanaangamia kwa kutokuwa na maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…